Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,997
- 46,717
Hii ina seasons ngapi?
Hii ina seasons ngapi?
Wanaoneana hadi wivu😂Hii THE LAST of US imeniuzi vile vibabu (Bill&Frank) kufanyiana ushoga
Ikabidi nipeleke mbele kukwepa huu ungese
4Hii ina seasons ngapi?
Unamaanisha ep 4 au maana ep 3 ishatoka ina siku mbili sa hvWazee tunao subiri episode3 ya mobland hapa kati kati mnaangalia series gani niwaiige??
Kuna sehemu ili ku overcome upweke na stress 😀😀 sasa unakuta mko wanaume tupuKumbe ni ya kipuuzi hivyo?
nine mobies naona eps sita tu kwani imeisha??View attachment 3305351
Kevin master mind mwenyewe ni nzuri sana na ni fupi baadhi ya mambo wameweka shallow sana
Vincenzo Jr check na huu mzgo cjui s2 inatoka lini👇View attachment 3305354
Sijajua ila ngoja tuoneKuna sehemu ili ku overcome upweke na stress 😀😀 sasa unakuta mko wanaume tupu
nine mobies naona eps sita tu kwani imeisha??
Hii ya chini wali Ishindwa kuendeleza kwa sababu ilikuwa na watazamaji wachache hivyo Ina msimu mmoja tuView attachment 3305351
Kevin master mind mwenyewe ni nzuri sana na ni fupi baadhi ya mambo wameweka shallow sana
Vincenzo Jr check na huu mzgo cjui s2 inatoka lini👇View attachment 3305354
Mtoto mtamu kama keki 😎😎😋View attachment 3305419
Beth Riesgraf amecheza kama Major Sonia Holloway kwenye 68 Whiskey. Mtoto ana 48yrs ila anazeeka na utamu wake😋
Hakika mkuuBora wangekula hata nyeto
Pale ile EP mpaka Leo sijaitazama tena nilivyo ona wameshikana tu nikatoa na EP yenyewe aiseeHakika mkuu
Alafu mbaya zaidi ni watu wazima vibabu kabisa hata kama ilikuwa ni upweke sio kihivyo dahh
Nmeumia sana ila May be kwenye swala la promo walifeli kidgHii ya chini wali Ishindwa kuendeleza kwa sababu ilikuwa na watazamaji wachache hivyo Ina msimu mmoja tu
Ngoja Nii downloadView attachment 3306318
Series moja tamu sana, ina episodes mbili hadi sasa ila zote za moto🍷
Jamaa yule anapiga aisee si kitotoah sam alikuwa anajitamba anapiga china town zima kisa anapigana na wahuni tu na maaskari ile siku limeandaliwa pambano na yule jamaa anayempenda mai ling ndo alijua kuna watu wako serious na ngumi ilibaki kidogo limvunje shingo isingekuwa polisi kuingilia 😅😅😅