Huko sio kuzingua. Ni kujitofautisha.
Umewahi fuatilia
johnwick?
Bourne series?
Pamoja na huyo statham wameamua kujitofautisha kwa namna hiyo. Na kila muvi ikitoka licha ya stori kama zinataka kufanana ila kinachotofautisha ni namna watu wanavyo pokea MKONG'OTO.
Hakika muvi zake hazichoshi kufuatilia. Kitakacho nitenganisha nae ni atakapo zeeka na kuanza kutoa muvi za low budget.
Viwnda vya filamu kabla huyu jamaa hayazeeka ni vyem wakampa series moja ya HITMAN iwe zawadi kwa ajili yetu. Tunao waigizaji wachache ambao wame maintain kwenye action ikiwemo huyo JASON
View attachment 3292759