Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 4,704
- 15,475
Elite ina story nzuri sana kuhusu wanafunzi wa kishua na drama zao, humo kuna vifo inabidi wasolve, kuna drugs na kuna hizo ngono zembe yaan full mihangaikoBkack dove niliishia episode chache. Wewe seasons zote hizo uliwezaje