DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 13,895
- 31,139
Bora wangekula hata nyetoHii THE LAST of US imeniuzi vile vibabu (Bill&Frank) kufanyiana ushoga
Ikabidi nipeleke mbele kukwepa huu ungese
Bora wangekula hata nyetoHii THE LAST of US imeniuzi vile vibabu (Bill&Frank) kufanyiana ushoga
Ikabidi nipeleke mbele kukwepa huu ungese
Kuna sehemu ili ku overcome upweke na stress 😀😀 sasa unakuta mko wanaume tupu😅Kumbe ni ya kipuuzi hivyo?
Series ipi hiyoJamaa EP ya 1 tu washaweka mambo Yao ya hovyo wanatukata stimu ndio maana series zao tunazicheki kwa kupeleka mbele tu wanazingua sana
The last of us EP ya 1 msimu wa piliSeries ipi hiyo
Tarehe 18 inaenda cinema sie wazee wa hd tuisubirie kidogoHyo sinners ndo aliyo igiza na Michael B jordan ?
Inatoka lini kwani ?
Series za aina gani unapendaThe Last of Us season 2 mbona imeanza na moto mkali hiviiiiii🙌🏻
Yellow Jackets imeisha msimu wa tatu acha tusubiri msimu wa nne je watapata msaada? ila iko fire sana na story yake huwezi kuipredict ina twists nyingi sana, 🔥
House of David msimu wa kwanza umeisha, one Giant down, msimu wa pili utakua na heka heka sana, je Saul atamkubali David kama his King? Hatareeee🥳
Haya mnipe series nyengine nzuri
Mimi sio mpenzi wa series au movie za mazombi acha inipite hiiThe last of us EP ya 1 msimu wa pili
Hizi hapa ni drama na mystery inaonekana unapenda plot twistThe Last of Us season 2 mbona imeanza na moto mkali hiviiiiii🙌🏻
Yellow Jackets imeisha msimu wa tatu acha tusubiri msimu wa nne je watapata msaada? ila iko fire sana na story yake huwezi kuipredict ina twists nyingi sana, 🔥
House of David msimu wa kwanza umeisha, one Giant down, msimu wa pili utakua na heka heka sana, je Saul atamkubali David kama his King? Hatareeee🥳
Haya mnipe series nyengine nzuri
Hapo ambayo sijaona ni ya 1 na 7,Hizi hapa ni drama na mystery inaonekana unapenda plot twist
1.Cruel Summer ina season mbili zinajitegemea
3. 1899
3. No Escape
4. Behind Her eyes
5. Outer Range
6. Teacup
7. Night has come ( hii ya korea )
8. Ravenswood
9. Pretty little liars
10. Pretty little liars (original sin)
11. Lock and key
Hapa sasa nimwachie Vincenzo Jr maana kila ninayo fikiria nahisi utakuwa ushaiona😁😁😁.Hapo ambayo sijaona ni ya 1 na 7,
Napenda Historical, horror, adventure, action,
Zinakaa kama nilivyoorodhesha.
1.DominionHapo ambayo sijaona ni ya 1 na 7,
Napenda Historical, horror, adventure, action,
Zinakaa kama nilivyoorodhesha.
Limitless1.Dominion
2.Emerlad city
3.In from the cold
4.Brave
5.Timeless
6.End game
Hizi hapa kwanza tumsubiri vin atakuwa anacheki game ya yanga,
Vincenzo Jr hizo saba zinatosha unaweza kurudi tu utasaidie series
Hii itakuwa ishakatishwaView attachment 3305351
Kevin master mind mwenyewe ni nzuri sana na ni fupi baadhi ya mambo wameweka shallow sana
Vincenzo Jr check na huu mzgo cjui s2 inatoka lini👇View attachment 3305354
Hakuna sehemu nyingi sana za kuangalia hizo series kama huko mambele yani tv show ikitoka inabidi iangaliwe huko cinema then ifate users wa mwisho.Hii itakuwa ishakatishwa
Waafrika tunapenda sana series ila kinachotuponza tunadowload free kwenye sites tungekuwa tunachangia kwenye kustream labda viewers wangekuwa wengi na series nzuri zisingekatishwa
Hata mimi ndio maana sijaipapatikia sanaMimi sio mpenzi wa series au movie za mazombi acha inipite hii