Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,218
- 79,719
😀😀Hapa huwezi kumshawishi Scars anakwambia kabla ya kuua huyo dem eti anamla kwanza ndo amuue
😀😀Hapa huwezi kumshawishi Scars anakwambia kabla ya kuua huyo dem eti anamla kwanza ndo amuue
Ni ya watu gani mkuu? Story kwa ufupi ili niruke nayoMy best series of all time
1.Chuno(Slave hunter 2010
Aisee hii series hapana story kali nipo nailudia
Hii ni Horror kama sikosei, 🤔
Tupe muongozo kidogo hii series inahusu nini,?My best series of all time
1.Chuno(Slave hunter 2010
Aisee hii series hapana story kali nipo nailudia
Mkuu kati ya hizi ipi ni kigongo zaidi nianze nayoSeries Za C.I.A
- Alias
- Hanna
- The Recruit
- Jack Ryan
- The Enemy Within
- Berlin Station
- The Looming Tower
- The Old Man
- Homeland
- Allegiance
- Wormwood
- Whiskey Cavalier
- Snowfall
- The Company You Keep
- Messiah
- Special Ops:Lioness
- Quantico
- Fubar
AliasMkuu kati ya hizi ipi ni kigongo zaidi nianze nayo
Hii series ni Kali sana
Site gani ntaipata,My best series of all time
1.Chuno(Slave hunter 2010
Aisee hii series hapana story kali nipo nailudia
Exactly 💯Weekend hii na mvua za dar ni kujifungia ndani tuh
Hii born again mbona sioni ikiongelewa japo promo ilikua kubwa.Weekend hii na mvua za dar ni kujifungia ndani tuh
Ukimaliza itafute na hii barryWakuu kumbe Fargo kali kinoma aiseee apa naanza season 2 sasa
Huwa napenda series za hivi aise inakuwa na ladha flani ivi kwanza settings zake ni small towns afu pia local sio naangalia series zilizojaa umjini mwingi mpaka inakera afu storyline mbovuuuu kama hii gangs of london yaani tena ilivoishia watakuja kutoa season nyingine aisee sitarudia kuchoma mbs zanguu
Sio cha kichawi? Naona mtu kwenye chupa
Sio kaka hii ni nzuri sanaSio cha kichawi? Naona mtu kwenye chupa