Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,744
Yule demu wake Barry anaitwa Sally mtoto miyeyusho sana yule 😄😃Barry ni sheeeeeedah😋😋, mkuu Vincenzo Jr 🙏
Yule demu wake Barry anaitwa Sally mtoto miyeyusho sana yule 😄😃Barry ni sheeeeeedah😋😋, mkuu Vincenzo Jr 🙏
Mtoto kama yule unalomba kila siku🍺Yule demu wake Barry anaitwa Sally mtoto miyeyusho sana yule 😄😃
Kabisa mkuu mtoto kama keki yule ndio maana Barry alidata paleMtoto kama yule unalomba kila siku🍺
Kalii mno 😀The Bondsman ni nzuri
NdioHii sijawahi kuichek ni horror?
wengi niliangalia kadhaa nikaona vumbi nikafuta narudi huku raia wanaisifia balaa ikabidi nishushe tena bado naona vumbi nikaachaEpisode ya kwanza tu kaitazama.hiyo gangs of london nikajua hamna kazi humo kumbe nililinda mb zangu ki halali.
Fargo nitaitafuta
Gangs of London ni action packed aisee, vurugu ni nyingi Sana na bunduki zinapigwa sanaTupo
wengi niliangalia kadhaa nikaona vumbi nikafuta narudi huku raia wanaisifia balaa ikabidi nishushe tena bado naona vumbi nikaacha
Hiyo G20 ni ya kawaida sanaNilifika kati nikawa nasinzia walizingua mno now fatilia series hizi 😀 😃 😃 😄
😎😎😎
Karma
Barry
The wheel of time
One call
The last of us
The bondsman
The rookie
Andor
Fallout
Cobra Kai
The punisher
The Lord of the Rings: The Rings of Power
Movie
Cheki hizi
G20
A Minecraft Movie
Novocaine
Freaky Tales
Hata Mimi nimemshangaa kuiponda gangs of London ile series ni shida ipo full package ina matukio na story iliyoshibaGangs of London ni action packed aisee, vurugu ni nyingi Sana na bunduki zinapigwa sana
Sasa hapo kila mtu ana interest zakeHata Mimi nimemshangaa kuiponda gangs of London ile series ni shida ipo full package ina matukio na story iliyoshiba
Hii Andor ipoje aisee, inafaa au niachane nayoKalii mno 😀
Kumbe ni ya kipuuzi hivyo?Hii THE LAST of US imeniuzi vile vibabu (Bill&Frank) kufanyiana ushoga
Ikabidi nipeleke mbele kukwepa huu ungese
Ni kipande cha story kuhusu hao wazee sema huko mbele sidhani kama kutakuwa na ujinga mwngneKumbe ni ya kipuuzi hivyo?
Umeamua kuitetea 😁😁Ni kipande cha story kuhusu hao wazee sema huko mbele sidhani kama kutakuwa na ujinga mwngne
Sema Iko Poa sana 🔥🔥🔥
Ipo vizuri sanaHii Andor ipoje aisee, inafaa au niachane nayo