Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
Kama umeziangalia series za POWER , SNOWFALL, NARCOS na ukazipenda basi usiache kuangalia hii ina story ya kweli inayomuhusu drug dealer BUMPY JOHNSON mwamba alikaa miaka 10 kwenye gereza la ALCATRAZ sababu tuu alikaa kuwachoma madealer wenzake. Baada ya kutoka gerezani inabidi alejeshe ufarme wake kwenye issues za madawa. Humu ndani pia kuna story ya urafiki wa BUMPY JOHNSON na MALCOM X