Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,930
- 3,980
Nataka za hiv nipe majinaView attachment 3093404
Itafuteni kwa wale wapenda ukachero wazeee wa kunyatia na kuvizia aka vitengo
Nataka za hiv nipe majinaView attachment 3093404
Itafuteni kwa wale wapenda ukachero wazeee wa kunyatia na kuvizia aka vitengo
Tafuta homelandNataka za hiv nipe majina
Kwahiyo unatushawishi ili tudanganyike 😁😁😁Series ya Shogun ambayo wengi hamuipendi, kwenye tuzo za Emmy ambazo ni maalumu kwaajili ya vipindi vya televisheni, imepiga tuzo 18 na kuweka rekodi ya series yenye season 01 tu kushinda tuzo nyingi.
Huu mzigo ili uupende, ondoa expectations za panga panga 😄 we tazama fuatilia kila nukta.
Hutojuta!View attachment 3098827
Hamna uchawi kaka fatilia nukta kwa nukta full siasa na mapigano ya kupigana kwa kutuliza akiliKwahiyo unatushawishi ili tudanganyike 😁😁😁
Anyway naomba kujua haya.
Haina uchawiuchawi na mambo ya superPower?
Uwe unaangalia mara kwa mara utazoea na utakuwa unawasikia vizuriShida me bila subtitles naona wanaongea fasta sana, sometimes inabidi niongeze sauti kuuubwa ili nipate na kulielewa neno.
Zimebaki siku 3Tukutane tarehe 22 mwezi wa 9 Cc ephen_ View attachment 3077977
😂😁😁😁 Hapo bado ujakutana na dark ujakutana na fringe hizo komaa nazo mkuu baadae utaenjoy tu now tulia kwa umakini utapata Raha series nzuri sana hiyo ukimaliza hiyo cheki na from maana Kuna character wa lost wapo kwenye fromLeo nimemaliza kuangalia LOST.
Miongoni mwa series za kipuuzi ni hii.
Unavyozidi kuiangalia ndivyo inavyozidi kukuacha na maswali kitu ambacho ni kizuri lakini disappointment inakuja pale unapoimaliza series yote halafu maswali uliyonayo hayajajibiwa, kuna mysteries bado hazijawa solved kana kwamba writers walikua wanaziweka tu hata wao hawajui majibu yake, what a waste of time.
From nasubiri season 3....... l hope na wao hawatomaliza hii series bila kutujibia maswali waliyotuwekea.😂😁😁😁 Hapo bado ujakutana na dark ujakutana na fringe hizo komaa nazo mkuu baadae utaenjoy tu now tulia kwa umakini utapata Raha series nzuri sana hiyo ukimaliza hiyo cheki na from maana Kuna character wa lost wapo kwenye from
Leo nimemaliza kuangalia LOST.
Miongoni mwa series za kipuuzi ni hii.
Unavyozidi kuiangalia ndivyo inavyozidi kukuacha na maswali kitu ambacho ni kizuri lakini disappointment inakuja pale unapoimaliza series yote halafu maswali uliyonayo hayajajibiwa, kuna mysteries bado hazijawa solved kana kwamba writers walikua wanaziweka tu hata wao hawajui majibu yake, what a waste of time.

pole sana, hio movie ni among of my personal best series.. napenda sana movie za kaliba hizo zakukchanganya.Fringe ya moto sanaHapo bado ujakutana na dark ujakutana na fringe hizo komaa nazo mkuu baadae utaenjoy tu now tulia kwa umakini utapata Raha series nzuri sana hiyo ukimaliza hiyo cheki na from maana Kuna character wa lost wapo kwenye from
, umenikumbusha ngoja nikairudie.Mbona kama walimaliza kilakitu season 1Dark Matter Msimu Wa Kwanza Uliishia Na Episode 9
Itarudi Kwaajili Ya Msimu Wa PiliView attachment 3096383
Nahisi season 2 watakuja na kitu tofautiMbona kama walimaliza kilakitu season 1
Naunga mkono hoja mkuu Mimi Kila mwaka nairudiaFringe ya moto sana, umenikumbusha ngoja nikairudie.
Series haijanichanganya, isipokua wamenikera kuimaliza ikiwa na loose ends za kutosha.pole sana, hio movie ni among of my personal best series.. napenda sana movie za kaliba hizo zakukchanganya.
😁😂😂😂😁Series haijanichanganya, isipokua wamenikera kuimaliza ikiwa na loose ends za kutosha.
Kama umeangalia series nyingine kali ila zilizoisha kijinga kama Game of Thrones, Dexter n.k utakua umenielewa namaanisha nini.
Leo nimemaliza kuangalia LOST.
Miongoni mwa series za kipuuzi ni hii.
Unavyozidi kuiangalia ndivyo inavyozidi kukuacha na maswali kitu ambacho ni kizuri lakini disappointment inakuja pale unapoimaliza series yote halafu maswali uliyonayo hayajajibiwa, kuna mysteries bado hazijawa solved kana kwamba writers walikua wanaziweka tu hata wao hawajui majibu yake, what a waste of time.
Nitatumia siku nzima kuelewa episodeUwe unaangalia mara kwa mara utazoea na utakuwa unawasikia vizuri

One of my all time best series everView attachment 3084342
Kama upo duniani na ujawahi cheki hii unajitafutia dhambi sana 😎