Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,247
- 79,825
Dah sio kweli 😂 😁Lord of the rings sijaona kitu kabisa, character wake hawana mvuto lakini pia kuna too much animation kwenye hii series. Sishauri mtu kuipakua
Dah sio kweli 😂 😁Lord of the rings sijaona kitu kabisa, character wake hawana mvuto lakini pia kuna too much animation kwenye hii series. Sishauri mtu kuipakua
Amini mkuu Dunia za kusadikika zipo humu. Muda huu napambana kuicheki lakini haipandi kabisa. Ningekua sina hii series ya The Old man usiku huu ungekua mrefu sanaDah sio kweli 😂 😁
Tafuta warrior u enjoy mkuu 😂 😁Amini mkuu Dunia za kusadikika zipo humu. Muda huu napambana kuicheki lakini haipandi kabisa. Ningekua sina hii series ya The Old man usiku huu ungekua mrefu sana
Kazi hiii nimekomaa hadi nimemaliza vipande vyote
Naunga mkono hojaDMC wasiiharibu tu kama walivofanya kwenye witcher.
Wewe untranslate kama ilivyo kwenye GoogleWakala maalum wa FBI Olivia Dunham lazima afanye kazi pamoja na mwanasayansi mwendawazimu Walter Bishop na mtoto wake Peter Bishop ili kuchunguza masuala mbalimbali ya sayansi ya pembeni
Ndio mkuu na ndio inavyo husu hivyoWewe untranslate kama ilivyo kwenye Google
Naunga mkono hojaWazee hii series ya kijapani kali sana HOUSE OF NINJAS
Miguel Alvarez Inahusiana na jamaa mmoja ni mhuni ametoka jela baada ya kumaliza kifungo chake hana mishe yoyote mjini anajikuta anaingia mzozo na police mmoja wakati yupo Bar mpaka inapelekea kumuua na huyo Polisi ni mara ya kwanza ameingia kwenye huo mjini kabla ajafika sehemu yake ya kazi ndio inajikuta anauwawa.Baada ya huyo muhuni kuua so anaamua kuchukua identity ya huyo Polisi anabadilisha kila kitu kiwe chake imagine muhuni ndio anakuwa Polisi unajua nini kitatokea?Ebu dadavua kidogo inahusu nini hiyo series
Noma sana mkuuMiguel Alvarez Inahusiana na jamaa mmoja ni mhuni ametoka jela baada ya kumaliza kifungo chake hana mishe yoyote mjini anajikuta anaingia mzozo na police mmoja wakati yupo Bar mpaka inapekekea kumua na huyo Polisi ni mara ya kwanza ameingia kwenye huo mjini kabla ajafika sehemu yake ya kazi ndio inajikuta anauwawa.Baada ya huyo muhuni kuua so anaamua kuchukua identity ya huyo Polisi anabadilisha kila kitu kiwe chake imagine muhuni ndio anakuwa Polisi unajua ni kitatokea?
Ngoja niruke nayo hii nitaleta mrejeshoMiguel Alvarez Inahusiana na jamaa mmoja ni mhuni ametoka jela baada ya kumaliza kifungo chake hana mishe yoyote mjini anajikuta anaingia mzozo na police mmoja wakati yupo Bar mpaka inapekekea kumua na huyo Polisi ni mara ya kwanza ameingia kwenye huo mjini kabla ajafika sehemu yake ya kazi ndio inajikuta anauwawa.Baada ya huyo muhuni kuua so anaamua kuchukua identity ya huyo Polisi anabadilisha kila kitu kiwe chake imagine muhuni ndio anakuwa Polisi unajua ni kitatokea?
Hii series mbona naikosa piratebay na telegramTazama warrior mkuu
Hii series mbona naikosa piratebay na telegram
todaytvseries.one
Ni kali mno muhimu ucheki pekee yako maana pi kuna maudhui ya kikubwa ndani yakeNb
Ngoja niruke nayo hii nitaleta mrejesho