Site ipi nzuri kupakulia the wire?The wire.
Hii series tamu sana, sasa hivi nimeanza kutafuna episodes kama sina akili vile.
Ipi hiyo mkuu niichukue fasta?Masikini sema yule demu nae ni miyeyusho sana hii series kalii sana hii
Unayo hiyo kaka ni Mayor of KingstonIpi hiyo mkuu niichukue fasta?
Site ipi nzuri kupakulia the wire?
todaytvseries.one
Ukimaliza cheki na spin yake house of dragon 🐉Hakika nimejichelewesha sana aise hii series ya Game of thrones ni babalao duhh kuna watu wamebarikiwa akili aise hao waliotengeneza hili dude ni balaa
😂😁😁😁😁 Tulia mkuu. Series nzuri hiyoBaada ya kuangalia better call Saul, nmejikuta namchukia Saul Goodman.
😅😅😅🤣bora wewe umeikuta imeisha wenzako tulikua tunakaa na alosto ya kusubili season ijayo , unakaa mwaka na nusu kusubil msimu mpya wa GOTHakika nimejichelewesha sana aise hii series ya Game of thrones ni babalao duhh kuna watu wamebarikiwa akili aise hao waliotengeneza hili dude ni balaa
Na series nyingi sijaanza kuziangalia aisee 😀Unayo hiyo kaka ni Mayor of Kingston
Crow ni horror movie au?ile abigail imenishindwa aisee
Season bado haijatoka hii,naisubiria toka 2022 sijui wanakwama wapi!View attachment 3093404
Itafuteni kwa wale wapenda ukachero wazeee wa kunyatia na kuvizia aka vitengo
Halafu kumbe wakati anapambana moyoni aliamini mkewe ndio muuaji😂😂😂😁😁😁 Kaka ni kalii sana hiyo bonge la story yule jamaa rusty sabich kapata tabu sana kumbe dogo alie ua ni yule mwanae wa kike Jaden 😂😁😁
Kabisa kaka hadi Mimi nilihisi hivyo aisee 😂 😁Halafu kumbe wakati anapambana moyoni aliamini mkewe ndio muuaji
Ndio sema ni mbaya sana 😂 😁Crow ni horror movie au?ile abigail imenishindwa aisee
Wanazingua sanaSeason bado haijatoka hii,naisubiria toka 2022 sijui wanakwama wapi!
😂😁😁😁😁 Duh hadi Mimi Kuna mzigo nimeacha sijaicheki bado 😂Na series nyingi sijaanza kuziangalia aisee 😀
Horror siziwezi aiseeNdio sema ni mbaya sana 😂 😁