Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wakuu kuna hii series animation ya The Boondocks ni nzuri kinoma kama unapenda zile mambo za kigangster umu yamejaa na kuna matukio yakweli yamewekwa umo ndani mfano kesi ya R kelly, uchaguzi wa kipindi cha Obama hadi kupita, harakati za Martin Luther, ishu za wakina 50 cent n.k

Umo ndani kuna mwana mmoja namkubali kinoma anajiita Pimp Named Slickback huyo hafagilii kabisa wanawake kuna part aliitwa amshauri jamaa mmoja ivi akawa anamwambia "bitch dependency is no laughing matter addiction with bitch can *** with it ur friends, health and scary your money its disease" Jamaa muda wote kala suti tu ya zambarau
1725086947630.jpeg
1725086861100.jpeg
IMG_20240831_095604.jpeg
 
Wakuu kuna hii series animation ya The Boondocks ni nzuri kinoma kama unapenda zile mambo za kigangster umu yamejaa na kuna matukio yakweli yamewekwa umo ndani mfano kesi ya R kelly, uchaguzi wa kipindi cha Obama hadi kupita, harakati za Martin Luther, ishu za wakina 50 cent n.k

Umo ndani kuna mwana mmoja namkubali kinoma anajiita Pimp Named Slickback huyo hafagilii kabisa wanawake kuna part aliitwa amshauri jamaa mmoja ivi akawa anamwambia "bitch dependency is no laughing matter addiction with bitch can JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala with it ur friends, health and scary your money its disease" Jamaa muda wote kala suti tu ya zambarauView attachment 3083222View attachment 3083224View attachment 3083238
Ngoja niitafute hii
 
Ngoja tulike nayo hii wapenzi wa anime
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom