Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,826
- 11,647
Inahusu nini?
Inahusu nini?
Kalii sana kakaOne of my all time best series ever
Wakala maalum wa FBI Olivia Dunham lazima afanye kazi pamoja na mwanasayansi mwendawazimu Walter Bishop na mtoto wake Peter Bishop ili kuchunguza masuala mbalimbali ya sayansi ya pembeniInahusu nini?
Ni Sci-fi?Wakala maalum wa FBI Olivia Dunham lazima afanye kazi pamoja na mwanasayansi mwendawazimu Walter Bishop na mtoto wake Peter Bishop ili kuchunguza masuala mbalimbali ya sayansi ya pembeni
Mbona mambo ya upinde tena!!DECEMBER SIO MBALI
NdioNi Sci-fi?
Zama telegram andika jina la movie searchWakuu nataka niifatilie The wire, Je ipo vizuri. Naona Ni series ya kitambo napataje ikiwa quality?
Hawezi kuipataZama telegram andika jina la movie search
Alooooh mwakani mbaliiiii☺☺☺
Waniletee na hii itapendeza sana
Ebu dadavua kidogo inahusu nini hiyo seriesChelsea mwenzangu upo huku yah hiyo series ni kali kuna moja inaitwa Banshee ina story sana sema tu unakiwa usicheki na watoto
January sio mbali 🤣 😁Alooooh mwakani mbaliiiii☺☺☺
Sio mbali 🤣 😁daaaaang'...!!🔥🔥
Nakazia kwa Mr Q mwakani ni mbali mno..!!
Inshallah Itakuja soonWaniletee na hii itapendeza sana
View attachment 3100613
Ayo mambo me uwa najilazimisha tu kuendana nayoNdio
Tazama warrior mkuuAyo mambo me uwa najilazimisha tu kuendana nayo