HomelandWakuu nipeni series kali kama black list🤲
Cypher ilitoka season kweli?Homeland
The night agent
Cypher
Tredstone
Queen of the south
Bodyguard
Designated survivor
Seven seconds
Hanna
In From the Cold Cc ephen_
Yeah kaka Cypher 2021 ni season ipo one tu kaka naunga mkono hoja hapo kwenye designated survivorCypher ilitoka season kweli?
Designated survivor walichemsha muendelezo wake,season za mwanzo zilikua nzuri mbele wakavuruga
Niongeza pita na personal of interestWakuu nipeni series kali kama black list🤲
Bodyguard ya mwaka gani? Pia naomba uzungumzie hizo cypher na in from the cold na kati ya hizo tatu yaani bodyguard cypher na in from the cold ipi ina action au mishe kama za tred stone au night agent na unashauri nianze nayoHomeland
The night agent
Cypher
Tredstone
Queen of the south
Bodyguard
Designated survivor
Seven seconds
Hanna
In From the Cold Cc ephen_
Bodyguard ni ya mwaka 2018 in from the cold inahusu Maisha ya mama hubadilika-badilika inapobidi achague kati ya kuhatarisha familia yake na kurudi kwenye maisha yake ya zamani kama wakala wa Urusi aliyebuniwa na viumbe haiBodyguard ya mwaka gani? Pia naomba uzungumzie hizo cypher na in from the cold na kati ya hizo tatu yaani bodyguard cypher na in from the cold ipi ina action au mishe kama za tred stone au night agent na unashauri nianze nayo
Nipe link mkuu naona nkiri haipoNiongeza pita na personal of interest
Nipe link mkuu naona nkiri haipo
Naunga mkono hoja kalii sana hii
Anajua saanaNaunga mkono hoja kalii sana hii
Kabisa kaka 🤣😁Anajua saana
One guy told me i look like under the bed



Mm mwenyew nimeangalia bila subtitles mpaka nimemaliza S06,ilikuwa subs zinatangulia kabla ya action nikaamua kuswitch off tu.Kuna mahali nimepata hii series ya Power shida inakuja haina subtitles kila ninavyojaribu kudownload inakuja tofauti na mpangilio.
Kuna njia yoyote ya kufanya ili subtitles na maneno viendane?
Shida me bila subtitles naona wanaongea fasta sana, sometimes inabidi niongeze sauti kuuubwa ili nipate na kulielewa neno.Mm mwenyew nimeangalia bila subtitles mpaka nimemaliza S06,ilikuwa subs zinatangulia kabla ya action nikaamua kuswitch off tu.
Kwa hizi Power Books naona zipo vizuri.
Unaitafutia sababu ya kutoiangaliaOkay. Ndo ile ililalamikiwa kuwa na vitendo vya kishoga?