Hapa tumepigwa. 😀😀😀😀 inabidi kuzima tv au kubadiliasha muvi
Hii movie inaitwaje?Haya mambo ya mwanaume kunyanyaswa na demu hata kama ni acting ndio aliyokuwa anakataa Jet Li
Mr Q
View attachment 3077630
Acha kuteseka mkuu download hiyo sub kwenye app ya video unayotumia kama ni vlc ni rahisi kupata subtitleKuna mahali nimepata hii series ya Power shida inakuja haina subtitles kila ninavyojaribu kudownload inakuja tofauti na mpangilio.
Kuna njia yoyote ya kufanya ili subtitles na maneno viendane?
The killerHii movie inaitwaje?
Hivi imeshatokaThe killer
Nmejarib kaka me natumia VLCAcha kuteseka mkuu download hiyo sub kwenye app ya video unayotumia kama ni vlc ni rahisi kupata subtitle
Ndio hiyo kaka 😁 😂 😁Hivi imeshatoka
Weka link kwanza usiogopeshwe na maneno ya Scars 😁😁😁
todaytvseries.one
Nilipewa recommendation na mwanangu na mimi nikaishusha baada ya kumuona Omar wa kwenye Lupin.Weka link kwanza usiogopeshwe na maneno ya Scars 😁😁😁
😂😁😁😁😁😁😁Nilipewa recommendation na mwanangu na mimi nikaishusha baada ya kumuona Omar wa kwenye Lupin.
Ila nimeishia pale nilipokuwekea kile kipande
Sio kama mbaya hapana ila ngoja kwanza nimalizane na the wire
Nmejarib kaka me natumia VLC
Nimeichukua kwa HD![]()
The Killer 2024 480p 720p & 1080p WEB-DL x264
The Killer 2024 480p 720p & 1080p WEB-DL x264 | Download full movie free, direct download linkstodaytvseries.one
Naam ni kalii sana hiyo kaka Mimi nimecheki jana tafuta na the unionNimeichukua kwa HD
View attachment 3077959
Weka link nitembee nayoNaam ni kalii sana hiyo kaka Mimi nimecheki jana tafuta na the union
Weka link nitembee nayo
todaytvseries.one
todaytvseries.one
todaytvseries.one