Series (Special thread)

Series (Special thread)

IMG_20240911_173500_641.jpg

Itafuteni kwa wale wapenda ukachero wazeee wa kunyatia na kuvizia aka vitengo
 
Ushaicheki series moja ya kiitaliano inaitwa Gomorrah?
Mimi niliimaliza yote.ni series kali imalizie yote.
Haina huo ugomora kisa jina lake!
Haizungumziwi sana sababu wengi washazoea vitu vinavyotrend kwa rates,za mataifa maarufu.ila series zenye mahadhi waitalia wana series kali,argentina,bulgaria,holland,belgium,germany,portugal,brazil nk kwa issues za madawa,makundi,ujajusi ndio zenyewe na utakuta hazijapewa rate kubwa ila balaa!
 
Naunga mkono hoja mfano mzuri series Yao ya the sopranos
 
Mimi niliimaliza yote.ni series kali imalizie yote.
Haina huo ugomora kisa jina lake!
Haizungumziwi sana sababu wengi washazoea vitu vinavyotrend kwa rates,za mataifa maarufu.ila series zenye mahadhi waitalia wana series kali,argentina,bulgaria,holland,belgium,germany,portugal,brazil nk kwa issues za madawa,makundi,ujajusi ndio zenyewe na utakuta hazijapewa rate kubwa ila balaa!
Iko vizuri nimeiona tu mwanzoni na hata rate zake ni 8.6 ambazo ni fair
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom