Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Srma maneno hayo sio mnatunga

Diamond yupo juu haimbi nyimbo za bedroom anajua kuchanganya sio leo K kaishiwa pumzi

Na kiba ndio karudi kwa kutumia kuwa wana ugomvi uongo mtupu nalaxima wamewalipa watu hila kusahau wamezima mic kyharibu namba one ya diamond

Mkuu, wamelipwa TZS ngapi kila mzomeaji...!
 
Duh!!! Dalili ya mvua sio mawingu ni manyunyu... Ndo nimeyaona Leo jamani... Kitu kuzomewa mpaka wa upande wako wakugeuke inauma sana jamani.. Pole yake akae akijua hakuna marefu yasiyo na mwisho... Afu mpanda ngazi ushuka.. Mkubali mkatae mashabiki ndio majudge was mwisho.... Karibu kakang Kiba... Tumechoka na majivuno,skendo na dharau... Aliye juu usimgoje mfate huko huko...

umeona afu watu wenyewe wabongooo
watoto waumavi maviniii
wanakushusha na kukupandisha on the spot
diamond aache dharau na mbwembwe zake
 
Bora hukupoteza mda wako kwenda kukaashuhudia haka kajamaa!.


T.I. has served two terms in county jail, twice for probation violations and a federal prison bid for a U.S. federal weapons charge.


Homeboy yani nilikuwa nacheka kwenye tv jinsi anavyopangilia matusi aiseeeee kama kutukana nimemvulia kofia sasa sipati picha wavuta bangi wenzie wiz khalifa na snoop yeye anaweza kuwa mwanafunzi kwa matusi
 
Diamond kwa Ally Kiba atasubiri sana . Wabongo hawapendi majivuno na dharau wapi heaven on desert .
 
Last edited by a moderator:
Nilibishana na mshabiki mmoja wa diamond akawa anasema Dogo anamiliki billion 2 Pesa za kitanzania labda ndizo zimemjengea chuki na watu.
 
boss nipachike kwenye kampuni yako basi na mimi
Binti wewe noma! Unajua naanza kuku kubali jinsi unavyoona hela kudadeki. Aisee hope you break through maana nia unayo sana!! Kelele zote hizi humu ndani wewe ukaona cha muhimu kuliko vyote humu ni wapi.. safi sana.
 
Kazi ipo!!!
Jaslaws umenena sana mkuu, apate washauri wenye akili timamu na akubali kushauriwa atafika mbali zaid!!!!

Watanzania hapa ndio huwa tunapofell kubreak through into int.levels.diamond alipofikia sio size yake.ni mbali mna na wala hakuwai kufikilia hata sikumoja kua ipo siku atatoboa kiivo,sasa ni wakati huu anatakiwa kuwa na watu sahihi kwenye company yake,hawa watu sujui bab tala cjui fella anatakiwa kuwabwaga,sa hivi tunatarajia tuanze kumskia diamond akiongea proffesionally,awe na phycollogist wake,mwanasheria wake,dr wake na kila kitu,sio kupiga kelele ooh show nataka million 20 afu bado anashindwa kuajili watu wa maana,atafifia uku anajiona ubakie kusema watu wanakuonea wivu,wivu gani wakati sisi ndo tunasikiliza muziki wako tangu kitambo,?
 
Last edited by a moderator:
Moja ya sifa kuu ya mashabiki wa huyo ni kundi flan la watu kama mahousigali,walioko kwenye balehe au kuvunja ungo na kama mtu ni mzima basi ni wale kula kulala,hawana muda wa kufikiria maisha.

Kwa wenye kujitambua/akili hawapendi mtu mwenye kujikweza kwa mambo ya kijinga.Leo habari zako za ngono zinakuwa ni habari za kitaifa kana kwamba ni yeye tu mwenye mapumbu.

hahahahaaa umeuwaaaa
 
Homeboy yani nilikuwa nacheka kwenye tv jinsi anavyopangilia matusi aiseeeee kama kutukana nimemvulia kofia sasa sipati picha wavuta bangi wenzie wiz khalifa na snoop yeye anaweza kuwa mwanafunzi kwa matusi
Wiz Khalifa kama kuna watu wa heshima usisikilize miziki yake. Ila bana, kama ni mwanamziki wa kibongo ndo ana makosa kama hayo Marekani hawampi visa. Sisi tunapokea tu...Ha haaa!.
 
Wiz Khalifa kama kuna watu wa heshima usisikilize miziki yake. Ila bana, kama ni mwanamziki wa kibongo ndo ana makosa kama hayo Marekani hawampi visa. Sisi tunapokea tu...Ha haaa!.

Hahahaha........Hiyo ndio bongo ukiwa mweupe tu wanakupa heshima kama muheshimiwa
 
Diamond ni msanii mwenye kipaji thabiti anastahili Sifa kwa hilo .

Tatizo lake amejisahau kuwa umaarufu alionao ndani na nje ya nchi unatokana na watanzania tena wengne wa kipato cha chini.

Style yake ya maisha imebadilika sana tangu amepata umaarufu

Anasa za wanawake anaowabadilisha kila siku na kujiita majina (km sukari ya warembo). Juzi tu amehonga gari ya kifahari kwa kimada wake.

Amefikia hata kuwadharau wale aliowakuta ktk mziki wengine walisaidia kumtoa, Bob Juniour, Ally Kiba. Kwa ufupi ni aina ya watu wasio na shukrani.

Tangu ameupata umaarufu na fedha akasahau kuwa pesa hiyo nying imetoka kwa watanzania wa maisha ya kawaida, Maneno ya kejeli yanaanza mara "sifanyi shoo ya Mil 2"
Mara kupanda ma private jet, kujipa vyeo ving, kuendekeza bifu nk.

HE HAS OUTSTANDING TALENT YES, BUY HE HAS 2B A BIT HUMBLE.

Kwanza anaonekana anadharau watanzania wote maskini.

Wacha wamzomee
 
Back
Top Bottom