Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Aah vijana wengi wanafki..unamchukia Dimond halafu wakati cku ya harusi yako ulipigiwa my number one na ukacheza nusu ya kufa, unamchukia Dimond wakati kila ciku kabla ya kulala lazima usikilize wimbo wa ukimuona

Uko sahihi mkuu, vijana wengi. Ila mimi hamna wimbo wowote wa bongo flavor si tu kwenye simu hata kwenye laptop.
 
Kamalizaa huyoooo
Mi napenda anavyochanaga tu hapooo aiseeee nooma sanaaa
 
Roozey alibaki kubweka tu kama mbwa. Wo wo wo mpaka show inaisha.

Ha ha ha! Nilikuwa sitaki ku-comment kwenye hii thread ila nilivyofika hapa imebidi nicheke!

Mikwara ya rhymes ni kwere asee! Ile ya rozay sio! Bora hata ya King easy wa Ololoo!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Alivyo jitambulisha utafikiri JOHN CENA akitamba mbele ya mpinzani wake kwenye mieleka hahaa
 
TI yuko bwaksiii....kapata uwanja wa kuwatukana haters wanaomdiss....kazi ipo
 
Siwezi kuwa na wivu kwa mtu yeyote, kila mtu amezaliwa na destiny yake. Kitendo cha kuanza kuwaza kuwa mtu anaonewa wivu ni udhaifu mkubwa sana.Unajua hela ndefu wewe? Juzi Nimelamba contract ya mil 900 kwenye kampuni yangu nije nimuonee wivu mtu asiyejua kuandika jina lake vizuri?Acha ujinga

We utakuwa punguani au hamnazo kabisa, maneno yako ni ishara tosha unachuki binafsi na dai. Ulimuita akusaidie kusain hiyo deal yako akashindwa kuandika jina? Unaakili za kuku tatizo mxiuuuuu
 
Sasa kakuuliza nani suala la contract yako? Nimeongea suala la pesa ndefu kwa Diamond, hata kama kapewa 5M kwangu ni ndefu. kama una pesa acha watu waone na waseme sio wewe kujitangaza. Wenye nazo hawasemagi. Acha Upumbavuuuu uliomixiwa na ujinga na kinyesi cha bata.
 
Ha ha ha! Nilikuwa sitaki ku-comment kwenye hii thread ila nilivyofika hapa imebidi nicheke!

Mikwara ya rhymes ni kwere asee! Ile ya rozay sio! Bora hata ya King easy wa Ololoo!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums

Umeona ee. Hao wengi hakuna kitu.
 
We utakuwa punguani au hamnazo kabisa, maneno yako ni ishara tosha unachuki binafsi na dai. Ulimuita akusaidie kusain hiyo deal yako akashindwa kuandika jina? Unaakili za kuku tatizo mxiuuuuu

Mimi nikiwa na akili za kuku wewe utakuwa na akili za nyumbu.
 
Eeh mbwembwe zimeanza inaaemwa watu wamelewa now wanasema kuhusi kupewa pesa ili wamzomee diamond.

Haya info toka instagram hiyo
 
Kila mtu humo lazima anate na biti kwa English anayofaham yeye utasikia,welcome,dance,come in,go,yo yo I love u ,I hata you,I miss u,mother fu....kers
 
Back
Top Bottom