Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,032
Si huyu2 ndo aliwahi kusema Mbeya hakuna Hotel yenye hadhi yake??!! Basi na wazidi kumzomea.. 👏👏👏
mnapakazia tu
Si huyu2 ndo aliwahi kusema Mbeya hakuna Hotel yenye hadhi yake??!! Basi na wazidi kumzomea.. 👏👏👏
Aah vijana wengi wanafki..unamchukia Dimond halafu wakati cku ya harusi yako ulipigiwa my number one na ukacheza nusu ya kufa, unamchukia Dimond wakati kila ciku kabla ya kulala lazima usikilize wimbo wa ukimuona
Zama za Diamond zinaisha sasa, sitaki kuamini Yale maelfu ya watu waliozomea eti wamekodishwa!! Ni ujinga kudhani hivyo
Wanatafuta sababu hakunaga kitu kama hicho watz hatutaki dharau bana
Da wanajamvi huyu mdogo wetu amewafanya nini watanzania hasa vijana wenzake,naona ameingia kutumbuiza watu wanamzomea na kupiga kelele na kuita Kiba,Kiba,Kiba,japo alijaribu kupiga nyimbo aliemshirikisha Ney wa mitego ndo angalau kidogo watu walikua wakimshangilia Ney,sasa pana nini wanajamvi
Umeeleza vema sana, ngoja nirudi nikakupe like, sasa naomba utudadavulie kidogo kuhusu fitna za ma don wa town! Am interested kujua walau kidogo! Ahsante!
Mimi si muumini wa nyimbo za washika suruwali mbele. na ninawachukia sana lakini hayu jamaa ndiye namchukia zaidi hana sifa ya kuigwa na mtu yeyote.mhuni, maraya,kiburi,majivuno,uchezaji usio na sitaha kiujumla hafai ktk jamii ya watu kama sisi rabda wapumbavu tu. Eti anailetea sifa
Tanzania we ----- kweli.
kosa la diamond ni kuwa na dharau kwa wasanii wenzake,kubwa zaidi ni kusema kama ally kiba anahitaji msaada wake yupo tayari kumsaidia,wakati for the time nyimbo za kiba zipo juu zaidi ya za diamond,na kiba hana makuu,kakaa kimya,anaacha kazi ziongee,nlikua shabiki wa diamond ila sasa nipo kwa kiba.dogo anaweza,hana makuu wala skendo.ni kazi tuu.diamond anamsema vibaya sana huyu bwana mdogo mwenye kipaji cha hali ya juu.huo ndo mshahara wake,asipojirekebisha atazomewa saaaanaaa
Safi sana leo umerudi na adabu maana sikunyingine huwa unaandika ka unasuguliwa na huyo domo...hongera kwa kuandika kwa heshima bila kumponda kiba....sasa ni hivi mtaarifu domo kama kuna siku aliharibu ni siku aliomchokoza kiba.hapo alitifua mambo..mwambie kua juu ni sawa ila asisahau waliochini wanaweza mshusha...aache majigambo..
Wasalam
What goes around comes around...mimi ni mmoja wa wanaotamani huyu dogo afulie..sijui kwanini tu...bila shaka nitakuwa na roho mbaya tu...but to be honest,huyu kijana ana dharau sana siku hizi,hajui waliompandisha wanaweza kumshusha vilevile!
Bora hukupoteza mda wako kwenda kukaashuhudia haka kajamaa!.Muda wa kwenda nilikuwa sina mkuuu nilikuwa nakamata neno moja moja na lugha yao ya ghetto kwenye tv mkuuuu