Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,760
- 14,005
hivi kwa kelele hizi za kina blue aweza kweli kuimba live bila back up!!?? watu waelewa anaimba nn kweli!!! duuuh mie nackia daresalaaaaaaam tu
kuna wasanii wameliwalipa clauds ili wapate nafasi ya kuperform