Serengeti fiesta 2014 special thread


Wameshindwa himaya ya Mengi? We huonagi kila siku wanamuibia wafanyakazi?
 
Watanzania hawajitambui. Mitaani wanapenda kitorondo halafu sijui nini

we bwana mdogo kwanini umeamua kutukana WATANZANIA kiasi hiki? yaani Watanzania hatujitambui,hebu omba msamaha na usijaribu tena kututukana Watanzania,ungekuwa karibu yangu saizi ndugu zako wangekuwa wanakuuguza maana ningekukata kereeebu hilo...uwe unatukana Wanyarwanda wenzako
 

Sijalazimisha watu wamshangilie ila kilichotokea jana unaona kabisa ni nguvu ya zaida inatumika kumshusha
 
Dah wabongo ni mahater sana, hii ni kwenye kila jambo tuko hivi watu wengi huwa wanalalamika
 

Pamoja na uhuni wake muangalie katika upande wa pili, ni muhuni ndiyo ila Muziki wake unapendwa zaidi nje ya mipaka
 
Watanzania hatutaki tuone kijana mwenzetu kafanikiwa. Tuna wivu wa kuku dume. Wivu ndo wawasumbua wanaomzomea. Wanataka wote tubanane huku chini kwenye umaskini. Si mshabiki wake ila sioni haja ya kumchukia.

nyie ndio wale mnataka mwanamke aseme nimefika climax hata kama hujamfikisha...ongeza bidiii na maufundi ili kilio kitokee ujue amefika..sasa hata kama amefanya sio pouwa watu wamshangilie tu?..LAW OF DIMINISHING RETURN
 

Ni kweli sababu wanazzitoa na nguvU inayotumika kumwangusha ni kubwa mno
 

hakuna kitu alichowafanya sema watu wanaroho mbaya Tu.kama hutaki kumshangilia SI wangakaa kimya Tu,tz ndio maana hatuendelei watu tunapenda kushushana Tu,lakini yote maisha
 
Mawazo kama haya ni ya watu wa Tanzania tu na kupeana vyeo vya umwinyi. Kuvaa sare kuna shida gani? First world watu wanatinga kama kawa na hakuna querry, bado sana nchi yetu
Hapo ndipo mnapokosea kulinganisha kila kitu na First World. Mtaanzisha vyenu lini ili nao waige!! Yaani kila kitu mnatoa reference ya 1st wld, huu ni utumwa. Pia tuangalie mazingira yao ni tofauti na ya kwetu. Kwao huwezi kukuta raia anatumia kombati kufanya ujambazi. Sasa huku kwetu eti turuhusu wavae. Halafu nina uhakika wengi mnaopinga humu ikitokea Upate madaraka kwenye System ya nchi Huwezi kukubali kuruhusu. Tena ndio mtakuwa wakali kuliko.
 

Kama ni clouds basi hatufiki mbali ila tuacheni unafki WaTZ
 
Heaven on Earth likes this
 
Last edited by a moderator:
mbona utatudharau sana we bwana mdogo? Watanzania hatujitambui.. mbona unatutukana matusi makubwa hivi? haki ya Mungu ulaniwe wewe pamoja na familia yako..na usirudie kutukana WATANZANIA,uwe unatukana WANYARWANDA WENZAKO

Mbona ameongea ukweli mtupu
 

Ujumbe unaotoka kwenye kundi la wenye chuki hata afanye nini hawawezi kumsifia maana ni strategy za kumwangusha hzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…