Sifa za ally kiba zitadumu kwa cku mbili au tatu maana hana kitu kinachomfanya tumsikie kila cku ila Dai utamskia tuu hata kwa kupitia Wema
Wabongo wanashabikia uhuni wa clouds, Clouds wanataka wasanii wawe cheap ili waweze kuwanyonya vizuri...washaona dogo anapaa hivyo anawapanda kichwani...kumbukeni zile saga za kugomea fiesta zao mikoani akitaka dau refu...
Wanajifanya kumpromote Kiba ili amzime Dai...Mungu ataendelea kumuweka juu kama alivyomuweka Jide...
Yuko wapi Q chillah? Yuko wapi Cowbama? Historia ikataka irudiwe kwa Jide, akagoma kuwa historia, Na Daimond hawezi kuwa historiaaa....
Hahahahahah...leo nna furaha sana nashindwa hata kuandika...aisee
Nakumbuka miaka mitano iliyopita aliyekuwa
nguli wa filamu Nchini Tanzania marehemu
""Steven Kanumba"" alienda kwenye jumba la
Big Brother....
amini usiamini bila sababu yyte ya maana
watanzania ndo walikuwa wa kwanza kuanza
kumsema kuwa hajui kuvaa, nani alimchagua ,
hajui kiingereza mpaka kufikia kumuigiza!!!
Walisahau hata watu maruufu kama Messi na
wengine wengi hawajui kuongea kabisa lugha
hiyo..
Baada ya kifo chake watanzania hawahawa
wakaanza kusema alikuwa nguli
aliyetuwakilisha vizuri nje ya nchi na kulia
sana!!!kumbe wakati akiwa hai tulikuwa
tunamshusha chini..
Miaka mitano baadae Tanzania imempata mtu
anayeiwakilisha vizuri nje ya mipaka na
kuitangaza vizuri nchi yake..
Pasipokuwa na sababu za msingi (chuki binafsi
tu)anapangiwa njama za kuzomewa na
kuabishwa katika ardhi ya nchi yake ambayo
kwa namna moja au nyingine kuna watu
wameifahamu sababu yake!! Ukiuliza sababu za
wengi wao kumchukia ni mafanikio yake lakini
hata kama humpendi mtu hivi ndo hadi
umzomee kwa kiasi kile !!!
leo na kesho naye huyu akitoka utaskia
hawahawa waliokuwa wanamzomea wanaanza
kusema jamaa alikuwa anatuwakilisha vizuri
sana , ametutangaza sana kimataifa!! lakini
Watanzania wenzake ndio vinara wa
kumuangusha..
Si lazima kila mtu ampende Diamond ila
kutumia nguvu kubwa sana kumuangusha mtu
ni ishara ya uwoga na Roho ya kimaskini...
Nimeamini ""maisha bila unafki hayaendi""
Poor comment of the day
Wabongo sisi ni wanafki sana, tena sana.
Hii dhambi tuikemee.
Wabongo wanashabikia uhuni wa clouds, Clouds wanataka wasanii wawe cheap ili waweze kuwanyonya vizuri...washaona dogo anapaa hivyo anawapanda kichwani...kumbukeni zile saga za kugomea fiesta zao mikoani akitaka dau refu...
Wanajifanya kumpromote Kiba ili amzime Dai...Mungu ataendelea kumuweka juu kama alivyomuweka Jide...
Yuko wapi Q chillah? Yuko wapi Cowbama? Historia ikataka irudiwe kwa Jide, akagoma kuwa historia, Na Daimond hawezi kuwa historiaaa....
Da wanajamvi huyu mdogo wetu amewafanya nini watanzania hasa vijana wenzake,naona ameingia kutumbuiza watu wanamzomea na kupiga kelele na kuita Kiba,Kiba,Kiba,japo alijaribu kupiga nyimbo aliemshirikisha Ney wa mitego ndo angalau kidogo watu walikua wakimshangilia Ney,sasa pana nini wanajamvi
Clouds wamekodisha wahuni wa kumzomea Diamond na kumshangilia Kiba
Huu uhuni wa Kikwete kuingilia mambo ya kibiashara ya makampuni binafsi kwa sababu Kuna washkaji zake ndio yanasababisha watu wachukie utawala wake. This is pure business, subjectivity haikuwa na nafasi kabisa. Jamaa wanafanya huu uhuni kwa sababu za ushikaji na JK, siku JK anatoka Ikulu November 2015 hii redio itafungwa kabisa na kuchinjiwa baharini. Wameshindwa kupambana na himaya ya Mengi wanaonea wachanga, not fair bana hii radio ya wafu imewatenda wengi Sana. Tena saizi wanashirikiana na Shigongo kutaka hata kuvunja ndoa..
kikwete akisema wamuache je??unajua kikwete ni nani kwenye jeshi wewe.unajuaje kama hajaomba ruksa??na unajua sheria ya nguo hizo kuvaliwa kwa matamasha?? nadhan hata wao watakua wanamaana hawawezi kuleta fiesta bila kibali kaka
Watanzania hawajitambui. Mitaani wanapenda kitorondo halafu sijui nini
Mawazo kama haya ni ya watu wa Tanzania tu na kupeana vyeo vya umwinyi. Kuvaa sare kuna shida gani? First world watu wanatinga kama kawa na hakuna querry, bado sana nchi yetu