Negativity peoplesHivi isingetosha tu kwa Msemaji wa Ikulu / Rais kuitisha Press Conference na kutupa Matokeo ya Sensa kisha Maisha yaendelee na Pesa iliyotengwa kwa Tukio / Hafla ya leo itumike kwa Mambo mengine Muhimu na ya Kidharula kwa Maendeleo ( Ustawi ) wa Watanzania na Tanzania yao?
Kuna wakati Watu wengine huwa wanatulazimisha akina GENTAMYCINE tuwadharau kwa kufanya Vitu ambavyo kwa Umasikini mkubwa uliopo kwa Watanzania wala hayakupaswa Kufanyika na hata Watu wenye Akili Kubwa kamwe wasingethubutu kufanya hivyo kwani Taifa linapoteza Pesa kwa Jambo la Kawaida sana..
Kasirikeni ila mkiharibu nitawasema.
Huko unakoita kufuja pesa nako kunachochea uchumi.Rais Samia anafuja pesa pasipo sababu ya msingi.
Angepokea hii taarifa ya sensa na kuisoma akiwa Ikulu angeokoa pesa nyingi sana na angeelekeza bajeti hii kwenye mambo muhimu
Negativity peoplesHivi isingetosha tu kwa Msemaji wa Ikulu / Rais kuitisha Press Conference na kutupa Matokeo ya Sensa kisha Maisha yaendelee na Pesa iliyotengwa kwa Tukio / Hafla ya leo itumike kwa Mambo mengine Muhimu na ya Kidharula kwa Maendeleo ( Ustawi ) wa Watanzania na Tanzania yao?
Kuna wakati Watu wengine huwa wanatulazimisha akina GENTAMYCINE tuwadharau kwa kufanya Vitu ambavyo kwa Umasikini mkubwa uliopo kwa Watanzania wala hayakupaswa Kufanyika na hata Watu wenye Akili Kubwa kamwe wasingethubutu kufanya hivyo kwani Taifa linapoteza Pesa kwa Jambo la Kawaida sana..
Kasirikeni ila mkiharibu nitawasema.
Huu ndo ukweli 🤢 kulalamika sio jawabu
Ifike mahali tuwaache tufungue Charities wenyewe na tujichangishe kwa manufaa yetu pia tutapata wafadhili kutoka njeKutangaza idadi ya watu mpaka pawepo na misafara ya v-8 wakati uswahili maji hayatoki bombani, hizo pesa wanazochezea wangekuwa wanazitumia hata kuchimba visima ningewaona wa maana, wao wanawaza anasa tu.
Umeongea jambo la msingi sanaHivi isingetosha tu kwa Msemaji wa Ikulu / Rais kuitisha Press Conference na kutupa Matokeo ya Sensa kisha Maisha yaendelee na Pesa iliyotengwa kwa Tukio / Hafla ya leo itumike kwa Mambo mengine Muhimu na ya Kidharula kwa Maendeleo ( Ustawi ) wa Watanzania na Tanzania yao?
Kuna wakati Watu wengine huwa wanatulazimisha akina GENTAMYCINE tuwadharau kwa kufanya Vitu ambavyo kwa Umasikini mkubwa uliopo kwa Watanzania wala hayakupaswa Kufanyika na hata Watu wenye Akili Kubwa kamwe wasingethubutu kufanya hivyo kwani Taifa linapoteza Pesa kwa Jambo la Kawaida sana..
Kasirikeni ila mkiharibu nitawasema.
Waza vizuri.Huko unakoita kufuja pesa nako kunachochea uchumi
Imagine wewe Leo ingekuwa kampuni yako inalipwa kutokana na mapambo Tu ya event husika ...ungesema kuna ufujaji?...serikali ikitumia hela zinarudi Kwa wananchi...ni Bora government spending kuliko kubana bana matumizi kupita kiasi
Kuna mkandarasi ambae halipwi?Waza vizuri.
Wangelipwa wakandarasi wachimba visima hii si ingesaidia pesa kuingia kwenye mzunguko na muda huo huo jamii inapata huduma muhimu?
Wapambaji baada ya hapo wanaondoka na mapambo yao na hatuna tulichofaidika.
Hakuna cha bure ! Watu lazima wale chakula 😅😂Huu uzinduzi nao mmeupangia bajeti?
Bado hujaelewa hoja yangu.Kuna mkandarasi ambae halipwi?
Wanasemaga waswahili Tumia pesa ikuzoee !! Au siyo ?!Hela imetembea haswaa
Mimi nimetoa mfano wa mapambo Kama kampuni moja Tu hapo kwenye event....but kutakuwa na kampuni nyingi tofauti zinaipwa Kwa kila eventBado hujaelewa hoja yangu.
Hoja yangu ni kwamba pesa zitumike kwa busara na matumizi yenye tija kwa jamii.
Wewe ulisema serikali isibane sana matumizi ili pesa izunguke mtaani na ukatoa mfano wa kampuni ya mapambo.
Nami nikatoa mfano wa kulipa wakandarasi wa kuchimba maji kuwa wakilipwa kuna faida 2.
1. Hao wakandarasi wakilipwa pesa itaingizwa kwenye mzunguko mtaani
2. Hapo hapo tutakuwa tumeboresha huduma za jamii kwa kuwapatia wananchi maji ambalo ni hitaji la msingi
Nimekuelewa SanaBado hujaelewa hoja yangu.