Mbunge Subira Mgalu: Rais Samia Zaidi ya Bilioni 29.11 Katika Sekta ya Elimu mwaka 2022-2023 Mkoa wa Pwani

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2022-2023 Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi ya Shilingi Bilioni 29.11 katika Mkoa wa Pwani kwaajili ya ujenzi wa miundombinu ya Elimu.

"Unapoanza muhula wa kwanza wa Shule za Msingi na Sekondari kesho 8/1/202 kama Mkoa wa Pwani tunachukua fursa hii kumshukuru sana Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hasssn kwa kuleta fedha nyingi katika Sekta ya Elimu zaidi ya Bilioni 29.11 zimeletwa Mkoani kwetu 2022/2023 pamoja na mambo mengi kugharamia Ujenzi wa Miundombinu ya Elimu" - Mhe. Subira Mgalu, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani

1. Shule ya wasichana ya Bibi Titi, Bilioni 4,100,000,000

2. ⁠Mradi wa Boost S/Msingi 13, Bilioni 5,336,900,000

3. ⁠Miundombinu ya Kidato cha V&VI (Barick Gold), Milioni 220,600,000

4. ⁠Miundombinu ya Kidato cha V&VI (Ruzuku) Milioni 812,400,000

5. ⁠Shule mpya za Sekondari (SEQUIP) Kata 9, Bilioni 4,760,966,693

6. Nyumba za Walimu 11 (SEQUIP), Bilioni 1,045,000,000

7. ⁠Ukarabati wa maboma 27, Milioni 337,500,000

8. Mradi wa EP4R, Bilioni 1,066,400,000

"Hakika Pwani tunasema Ahsante Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan umewekeza vya kutosha kwenye Elimu ya vijana wetu. Kunogile Ukae Kunogile Pwani" - Mhe. Subira Mgalu, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani.

WhatsApp Image 2024-01-05 at 14.20.03.jpeg
 
Mbunge Subira Mgalu: Rais Samia Zaidi ya Bilioni 29.11 Katika Sekta ya Elimu mwaka 2022-2023 Mkoa wa Pwani

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2022-2023 Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi ya Shilingi Bilioni 29.11 katika Mkoa wa Pwani kwaajili ya ujenzi wa miundombinu ya Elimu.

"Unapoanza muhula wa kwanza wa Shule za Msingi na Sekondari kesho 8/1/202 kama Mkoa wa Pwani tunachukua fursa hii kumshukuru sana Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hasssn kwa kuleta fedha nyingi katika Sekta ya Elimu zaidi ya Bilioni 29.11 zimeletwa Mkoani kwetu 2022/2023 pamoja na mambo mengi kugharamia Ujenzi wa Miundombinu ya Elimu" - Mhe. Subira Mgalu, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani

1. Shule ya wasichana ya Bibi Titi, Bilioni 4,100,000,000

2. ⁠Mradi wa Boost S/Msingi 13, Bilioni 5,336,900,000

3. ⁠Miundombinu ya Kidato cha V&VI (Barick Gold), Milioni 220,600,000

4. ⁠Miundombinu ya Kidato cha V&VI (Ruzuku) Milioni 812,400,000

5. ⁠Shule mpya za Sekondari (SEQUIP) Kata 9, Bilioni 4,760,966,693

6. Nyumba za Walimu 11 (SEQUIP), Bilioni 1,045,000,000

7. ⁠Ukarabati wa maboma 27, Milioni 337,500,000

8. Mradi wa EP4R, Bilioni 1,066,400,000

"Hakika Pwani tunasema Ahsante Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan umewekeza vya kutosha kwenye Elimu ya vijana wetu. Kunogile Ukae Kunogile Pwani" - Mhe. Subira Mgalu, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani
Machawa.
 
Back
Top Bottom