Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naomba mie nikimbie 🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️Kabla hajafikia kwangu najua anaanzia alipoishia mchana kuja kufika nitakua naota kabisa!
Hahahaha kimbia tu asikukute😂😂😂😂
 
Kuna siku tulikuwa na ladies out; eti ooh tufanye mashindano ya kuvuta kamba na kucheza rede; nilihema kama chura
Hahha iyo michezo hapana unaweza kuwavunja watu mbavu [emoji1787][emoji1787]
Na hivi nilivobonge nikianguka nitakuwa kama kiroba sema netball nikicheza dakika tano nahamia kuchezesha najifanya referee [emoji23][emoji23]kumbe Mambo mazito

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Wapenda ubuyu na umbea, tayari nshaweka kitu kule celebrity.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kule natokaga kapa[emoji41]

Sijui kwa vile ninamastress,naona umbea unanikataa kabisa[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahha iyo michezo hapana unaweza kuwavunja watu mbavu [emoji1787][emoji1787]
Na hivi nilivobonge nikianguka nitakuwa kama kiroba sema netball nikicheza dakika tano nahamia kuchezesha najifanya referee [emoji23][emoji23]kumbe Mambo mazito

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hahahahahaha refa kama refa. Hii miili tusiifanyie uzembe aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom