Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwakweli notebook ni muhimu izo mbegu how[emoji16][emoji16][emoji16] huku ni wasukuma tu jman [emoji23][emoji23]
Ukiamka tu mwangaluka mayo[emoji23] hamu ya kutafuta mbegu inapotea adabu gani hizi

Nikikosa nitakuja na huko huenda zipo zipo[emoji16]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo tatizo ni Wasukuma? [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Si ndio akina Junia wa aina ya kina Magufuli
Shikilia hukohuko
Hahaha umenikumbusha nimetoka kwenda dukani nakutana na mtu (mwadila mayo) nitajie namba[emoji38][emoji38]06 nikasema khe ndo wenzetu mbinuzao hizi nilicheka balaa
Sipati mbegu aisee navopenda kubembelezwa [emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kuna line inasema blah blah kibao
Main point namna ya kuitunza furaha [emoji2096]
Siku zote maumivu maumivu
Yapo kutufunza
Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza
Huko nyuma hukumu
Hukumu zilisha nikumba
Na mateso kung'ang'ania
Pendo usipopendwa
Niliforce kujificha kule kumbe
Chaka langu ni hapa
Sasa napewa amani
Mapenzi yasiyo na mipaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote maumivu maumivu
Yapo kutufunza
Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza
Huko nyuma hukumu
Hukumu zilisha nikumba
Na mateso kung'ang'ania
Pendo usipopendwa
Niliforce kujificha kule kumbe
Chaka langu ni hapa
Sasa napewa amani
Mapenzi yasiyo na mipaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaa.
Yaani kama alitutungua vile
 
Hahaha umenikumbusha nimetoka kwenda dukani nakutana na mtu (mwadila mayo) nitajie namba[emoji38][emoji38]06 nikasema khe ndo wenzetu mbinuzao hizi nilicheka balaa
Sipati mbegu aisee navopenda kubembelezwa [emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wababe tu kila sehemu Hawa jamaa
 
Back
Top Bottom