Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,192
- 183,004
Asante mamy umejilipua kweli kweli... mtoto jicho linaita 😘
Asante mamy umejilipua kweli kweli... mtoto jicho linaita 😘
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Leo ni mitupio tu[emoji3531]
zipo nyingi ila nasinzia Shangazi wacha Nipumzishe fuvu langu kwaleo inatosha!
asante sana...ndio mambo zangu hizooo🤸🤸😘😘😘!!Goal attack -college
GA mtaani huko sehemu zingine View attachment 2215937
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
KabisaYeah!
Kusema kweli ni lizuri tuacheni utani. Hata ukitinga nalo Bariadi wanajua kuwa mwanaume kweli umekuja na chombo! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
AmenSawa, usiku mwema dear...
Mungu akipenda kesho..
[emoji23][emoji23]mwalimu ni Moto[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3] nambie chibongeeeeee.Yan wew wa kufuta picha kabla mm mhanga mwenzio wa kupitwa na matukio sijaona
Sijapenda
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
mpambe kazini 🤣🤣🤣🤣🤣!!😜😜😜Kabisa
Yaani hata ma wifi
Walipenda tu
Maana lenyewe ni lizuri
Daah enzi hizo jamani. Sasa hivi kuruka tu mtihaniGoal attack -college
GA mtaani huko sehemu zingine View attachment 2215937
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sijapenda naomba irudiwe[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3] nambie chibongeeeeee.
Niliforce kujificha kule kumbe Chaka langu ni hapa
Sasa napewa Amani mapenzi yasiyo na mipakaView attachment 2215925
Mimi bado aisee japo ni kibonge[emoji38][emoji38] lkn bado nacheza Sana nikiamua japo hiyo ni ya muda kidogo
Huo n mkono wako? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hela ya kula chips yai na pepsi inaishia kwenye kucha… udada ni kazi….
View attachment 2215537
Kuna siku tulikuwa na ladies out; eti ooh tufanye mashindano ya kuvuta kamba na kucheza rede; nilihema kama churaMimi bado aisee japo ni kibonge[emoji38][emoji38] lkn bado nacheza Sana nikiamua japo hiyo ni ya muda kidogo
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Huu mzigoSasa Yule jamaa wa muongozo alifeli wapi mtoto mkali hivi asee?
Au ndy kwenye miti...