Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Amkeni amkeni amkeniiiiiii.. Yna2 kaandika thread anatafuta mchumba huko,pm iko wazi ilimradi uwe unapumua Tu

Depal unaniruhusu nizame pm kujaribu bahati?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Aisee ni kweli.

Ila maisha yanakwenda kasi sana yaani.

Pole sana mjukuu. Naamini ulishapona na kuondokana kabisa na tatizo hilo...

Ndiyo. Mafuta mengi siyo mazuri (hasa kwetu wahenga) japo vyakula vilivyokaangizwa ndo vitamuuu. Mara moja moja siyo mbaya lakini....

Nina daktari mkorofi hapa na mafuta pekee ninayoruhusiwa kutumia kwenye vyakula ni haya. Akiona cholesterol imepanda hata kwa point moja tu basi nitanuniwa hata mwezi. Hovyo tu!
View attachment 2215761
Nashukuru nilishaponaga kwa kuzingatia masharti,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mjukuu. Naamini ulishapona na kuondokana kabisa na tatizo hilo...

Ndiyo. Mafuta mengi siyo mazuri (hasa kwetu wahenga) japo vyakula vilivyokaangizwa ndo vitamuuu. Mara moja moja siyo mbaya lakini....

Nina daktari mkorofi hapa na mafuta pekee ninayoruhusiwa kutumia kwenye vyakula ni haya. Akiona cholesterol imepanda hata kwa point moja tu basi nitanuniwa hata mwezi. Hovyo tu!
View attachment 2215761
Msalimie dr,,,,

Akinuna nawe nuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom