Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Khaa hutaki nije kuabudu kanisani kwako?
😁😁😁 Sasa ivi navua kondoo sijawa na kituo cha kudumu.. siku nikiwa hapo karibia na kwako nitapokuwa napiga gombo nitakushtua uje ushuhudie udhihirisho wa uwepo wa Mungu kupia neno lake

Lk 15:7-10 SUV​

Nawaambia, Vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa ajili ya wenye haki tisini na kenda ambao hawana haja ya kutubu. Au kuna mwanamke gani mwenye shilingi kumi, akipotewa na moja, asiyewasha taa na kufagia nyumba, na kutafuta kwa bidii hata aione? Na akiisha kuiona, huwaita rafiki zake na jirani zake, akawaambia, Furahini pamoja nami, kwa kuwa nimeipata tena shilingi ile iliyonipotea. Nawaambia, Vivyo hivyo kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye.
 
Aisee nitakuja. Atakayekuwa anacheza sana muda wa kusifu; ndiyo Mama Pastaa sasa
 
Back
Top Bottom