Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,210
- 185,074
Mie pia kipo Anne ngoja siku niamue kionekane nipige picha ushtuke kwa mshangao 😂
Wewe huna kitambi trust me.
Namzungumzia dada yangu mwenye mwili kama wako na ana mtoto mmoja
Ana kitambi,kinajichora kwenye nguo kama Cha waheshimiwa wabunge