bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,540
- 3,392
Hakijafikia level ya Kitambi Mning'inio like ni balaa kama wacheza sumo 😂😂😂weee Kipo kama chote nivile naibia pozi tu🤣🤣🤣🤣😂😂!!
Hakijafikia level ya Kitambi Mning'inio like ni balaa kama wacheza sumo 😂😂😂weee Kipo kama chote nivile naibia pozi tu🤣🤣🤣🤣😂😂!!
Hongera mamy ngoja niandae beseniYupo tumboni huyu Junia[emoji23]
Ni msumbufu,ananiendesha kama gari bovu
😁😁 Sasa hivi sipokei sadaka, ila kilicho changu ndio natoa Shangazi.. Ila mafuta niliyobeba ukiwa karibu na mie lazima utoboe pesa lazima ikifute .. nina upako wa pesaMjomba uniweke kitengo cha kupokea na kuhesabu sadaka,usisikilize waumini wanaopinga kabila langu[emoji23][emoji23]
Nenda Ethiopia acha maneno mengi mama Mchungaji...Huko i hadi itokee sasa. Tofauti na huduma ingakuwepo tu hapahapa Tz; unaamua tu leo ngoja nikapokee baraka kwa Baba Mchungaji
Sasa Yule jamaa wa muongozo alifeli wapi mtoto mkali hivi asee?
Au ndy kwenye miti...
Mnateseka[emoji41]Tangu mafuta yamepanda bei,tutaona mengi sn[emoji28]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kwamba unakivutia ndani forsake of photo then unakiachilia 😄weee Kipo kama chote nivile naibia pozi tu🤣🤣🤣🤣😂😂!!
Injili ya siku hizi ni ya pesa. Hapo yaani utakuwa famous soon...na utatajirika mpaka uombe poo![emoji16][emoji16] Sasa hivi sipokei sadaka, ila kilicho changu ndio natoa Shangazi.. Ila mafuta niliyobeba ukiwa karibu na mie lazima utoboe pesa lazima ikifute .. nina upako wa pesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera mamy ngoja niandae beseni
Nitakuja unipe mbinu[emoji16]na mm nimpate nduguyake Junia[emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Aah wapiNenda Ethiopia acha maneno mengi mama Mchungaji...
Nye Nye Nye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kujiongeza tu Auntie Junia.
Wee kwa kitambi gani ulichonacho?? Huna hata kidogo!!Nikiweka hapa picha ya dada yangu utacheka.
Na hapo nilimwambia bana tambi Hilo..tumbo limejaa kama mjamzito.
Ethiopia kwasababu ya spiritual lineage yangu mkuu. Amen tuzidi kubebana kwenye maombiMungu Akubariki ukamilishe ndoto zako.
Why Ethiopia? [emoji848][emoji848]
Kwaiyo mama Junia nijiongeze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kujiongeza tu Auntie Junia.
On[emoji2440][emoji2440]wayItabidi awe na bundle la uhakika. Afadhali hata angeweka vigezo vikamsaidia kuengua baadhi yao lakini hii ya ali mradi tu wanapumua ni vurugu mechi sipati picha [emoji16]
Wewe huna kitambi trust me.Wee kwa kitambi gani ulichonacho?? Huna hata kidogo!!
Piga kazi kwanza mkuu sie tupo tu 😘😜!Maisha hayako fair kabisa... Imagine nipo huku alafu naufikiria Mzigo wa mahondaw View attachment 2215903
Maandiko yako wazi kabisa, kwenyeInjili ya siku hizi ni ya pesa. Hapo yaani utakuwa famous soon...na utatajirika mpaka uombe poo!
[emoji16][emoji16] Sasa hivi sipokei sadaka, ila kilicho changu ndio natoa Shangazi.. Ila mafuta niliyobeba ukiwa karibu na mie lazima utoboe pesa lazima ikifute .. nina upako wa pesa
[emoji23]Kwaiyo mama Junia nijiongeze[emoji23][emoji23]
Sema mbinu lazima nitakuja na notebook[emoji1787]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app