Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
MayonaizMimi nimeijaribu sema inanoga ukikatia kitunguu , carrot na hoho
Chachandu
Na ukwaju
Uliweka[emoji848]
MayonaizMimi nimeijaribu sema inanoga ukikatia kitunguu , carrot na hoho
Inawezekana lakiniSi ndio maana naumwa hapa
Hee!Kwendraaaaa
Mayonaiz
Chachandu
Na ukwaju
Uliweka[emoji848]
Mmh umetupiga na kitu kizito[emoji16]Inawezekana lakini
Inasemwa hivi
Msiokunywa pombe mna starehe yenu
Nayo ni kuch kuch otae
Sikupingi kuwa mama kijacho
Ndio mkuu, wenyewe wanasema beer money 🙂Totally true. Nimejifunza kuwa Business Analyst in a matter of months yote kupitia Youtube na Udemy...nikafanya mtihani nikafaulu na kupata cheti. Remote contracts as a side hustle vijisenti vya kununua cheap wine havikosekani. There is so much free knowledge out there if you wanna truly change your life - either for fun or otherwise.
Yalikuaga buku tatu haya.Korie ya kupima litre ni 6400
YeahYalikuaga buku tatu haya.
Kazi ipo.Yeah
Yalikuwa bei hiyo .. ngano nayo kilo 2000
Tulia nipo bia ya 2, nakata fundo taratiiiibu huku natafakari nianzie wapi.😂😂😂😂😂 yan kuimbisha tu mpaka ugonge tubia kadhaa?
Ambacho hakijapanda bei naona ni chumvi na viberiti [emoji16]Yeah
Yalikuwa bei hiyo .. ngano nayo kilo 2000
Ooh kweliAmbacho hakijapanda bei naona ni chumvi na viberiti [emoji16]
Shangazi inabidi siku moja nikutengeze sahani moja kali naamini itabeba vitu vyako kwa 95%.. alafu nikupandishie kwenye cloud uipakue 😎😎Hahahha mjombaa naona umekua FBI
Ngoma yangu...
Kuch Kuch otae si ni wimbo huo?Inawezekana lakini
Inasemwa hivi
Msiokunywa pombe mna starehe yenu
Nayo ni kuch kuch otae
Sikupingi kuwa mama kijacho
Yeah
Yalikuwa bei hiyo .. ngano nayo kilo 2000
Shangazi inabidi siku moja nikutengeze sahani moja kali naamini itabeba vitu vyako kwa 95%.. alafu nikupandishie kwenye cloud uipakue [emoji41][emoji41]
Badae kidogo bestIrudiweeee irudiweeee
Irudiweeee
Kuch Kuch otae si ni wimbo huo?
Usinambie hii nimwikosa??😭😭😭