Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Lol nilijua ushatoka nikaenda kupuyanga huko kwingine.. Ngoja niangalie angalie hapa shangazi
Nipo dear,namsubiri coca ...
Lol nilijua ushatoka nikaenda kupuyanga huko kwingine.. Ngoja niangalie angalie hapa shangazi
Mara ya ngapi unauliza? Unataka tuzoom brand ya TV ? Au tuone ni inchi 32 iko kwa wall? Au tuone hiyo tekno?
Poapoa shangaziNipo dear,namsubiri coca ...
Jumatatu jioni natoa offer kwa mtu mmoja ya full tank, condition awe na gari yenye kuanzia 3.5L , location ya offer Singida
Unajua mwanamke nae ana machaguo yake..unaweza kuta ametegesha mtego ili samaki waingie wengi lakini yeye anamtaka mmoja Tu aliyemkusudia..pengine naweza kuwa Mimi![]()


Mara ya ngapi unauliza? Unataka tuzoom brand ya TV ? Au tuone ni inchi 32 iko kwa wall? Au tuone hiyo tekno?
![]()




It reminds me of my darling Father. Kila tulipokuwa na Ibada ya Shukrani; tungeimba hii tenzi.Jambo hili lenye huruma
Nitalisifu daima
.........
Nikiulizwa na watu
Ndilo furaha yangu kubwa
Naiongojea nikifa
Sina uhakika..Ila Kwa kuwa amesema kikubwa mtu awe na pumzi,nitaibuka pm kujaribu bahati yangu 😅Ni weweee....
8 packs tena...
Rafiki kheri ikawe juu yakoUnajua mwanamke nae ana machaguo yake..unaweza kuta ametegesha mtego ili samaki waingie wengi lakini yeye anamtaka mmoja Tu aliyemkusudia..pengine naweza kuwa Mimi![]()


Itabidi awe na bundle la uhakika. Afadhali hata angeweka vigezo vikamsaidia kuengua baadhi yao lakini hii ya ali mradi tu wanapumua ni vurugu mechi sipati picha![]()
leo mabaharia watakesha...

Tunaomiliki mashine za juice ya muwa za kutumia mafuta tunaruhusiwa mkuu?Jumatatu jioni natoa offer kwa mtu mmoja ya full tank, condition awe na gari yenye kuanzia 3.5L , location ya offer Singida
Jumatatu jioni natoa offer kwa mtu mmoja ya full tank, condition awe na gari yenye kuanzia 3.5L , location ya offer Singida

Et wanapumuaItabidi awe na bundle la uhakika. Afadhali hata angeweka vigezo vikamsaidia kuengua baadhi yao lakini hii ya ali mradi tu wanapumua ni vurugu mechi sipati picha![]()

😅😅..nashukuru Kwa kuniombea madam rafikiRafiki kheri ikawe juu yako![]()
Akili zako sasa...Mara ya ngapi unauliza? Unataka tuzoom brand ya TV ? Au tuone ni inchi 32 iko kwa wall? Au tuone hiyo tekno?
![]()
Sina uhakika..Ila Kwa kuwa amesema kikubwa mtu awe na pumzi,nitaibuka pm kujaribu bahati yangu![]()
Usitusahau wa mafuta ya kulaJumatatu jioni natoa offer kwa mtu mmoja ya full tank, condition awe na gari yenye kuanzia 3.5L , location ya offer Singida

Oooh!It reminds me of my darling Father. Kila tulipokuwa na Ibada ya Shukrani; tungeimba hii tenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app



Shangazi unaweza jipaka mafuta ya pamba 😅😅Mjomba sisi wenye TZ 11 tupe offer ya mafuta ya kupaka maana,vumbi lina tupausha![]()