Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndiyo mkuu ni maji. Ni ka-neighborhood kapya kalikozungukwa na maji...

Kwa nini unayaogopa hivyo? Ulishawahi kuzama au ni hofu ya kawaida tu ya maji (aquaphobia)?

Fanya kila juhudi ujifunze kuogelea kama hujui. Ni skill ya muhimu sana ambayo hujui ni wakati gani utaihitaji. Siyo kamanda Pep amekuchukua kwenda kula bata kwenye hoteli ya nyota 10 halafu unashindwa hata kuogelea kwenye swimming pool [emoji16]
Husemi uongo mzee mwenzangu.

Kipindi mwendazake anasema tupige mbizi pale kigamboni huyu pisi hakuepo kwani?
 
Mimi nimeenda na biti yao
Nimefuata maelekezo yao hadi mwisho.
Karibu saa nzima naongea nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Kumbe yamekaa sehemu moja bwana[emoji1787]
Nashindwa hata nianzie wapi kuhadithia[emoji23][emoji23][emoji23]
These people made my day[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Pep
Muhimu wasiniibie pisi yangu tu hao watopolo
 
Back
Top Bottom