Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwahiyo nisirushe ngumi shem wangu faida sana?

Huwezi amini nimefika hapa jamvini kwaajili yako...

Nilikua nipo hovyo hovyo sana nikagundua I was missing someone.

As it plays out...huyo mtu ni wewe.

Najua mdogo ako atabisha
Huna haja ya kuonyesha kung-fu zako

Hata Mimi nilikuwa najihisi kabisa siko sawa; something was missing. Hapa nipo kamili gado. Achana na huyo mvimba macho
 
Najiulizaga mbona kuna watu wana like like sana comment za financial services

Kumbe bana sio comment wana like wanajua wanacho like,shenzi zao nimeshajua sababu

namimi nkiona comment natia like,staki kujua stori wala nini napita kama mkwepu jr
Jamani hamna cha ziada ni picha tu hizo😂 kwahiyo nisubiri likes kwenye comments? Thank you in advance mkuu😂
 
uwage na adabu wee mtu.
Ivi mkeo hajakuambia mie ni shem wako? Kaka kwa kutulia.
Eeeeh wee cheka tyuuh, maisha mafupi haya bhana, enjoy

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mke wangu Anne? ambaye ni mtakatifu?

Sijajua kwanini hajakutambulisha mpaka sasa hivi.....kwa hili hajaupiga mwingi kwakweli
 


Wapenzi wa hizi kazi, Sina habari na Mtu Na enjoy tu hii zawadi ya Uhai Mungu aliyonipatia.

Halafu kuna mtu anapta anapga hayawe hayawe ya rose muhando huko koridoni ananirushia stimuuuu
 
C4053352-AE2D-4D0E-8884-08228890D268.jpeg

Benki ya wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Hazina
 
Back
Top Bottom