Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

View attachment 2144329
Naona traffic Police wamenisimamisha hapa, wanasema tairi za tela langu zimeisha ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜‚

Karma , Heaven Sent , financial services , Saint Anne , Bujibuji Simba Nyanaume fanyeni mpango mnunue Pickups za kubebea mazao yenu shambani lakini sio Ng'ombe.

Kwetu kule Ng'ombe ni kwaajili ya kula nyama, maziwa na kuolea tu sio kubebea mizigo ๐Ÿ™Œ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
Sisi kwetu ng'ombe ni Kwa ajili ya kulima mashamba
 
[emoji38][emoji38][emoji38] wew na wachambuzi wako UCHWARA kule jukwaani kwenu leo kimya [emoji38][emoji38]...sisi tupo kwenye rebuild Ni special Case right now
Man mna rebuild Nini sasa nyie?
Na profesa wenu wa gengeni ..
Yaani hata tukiwapa mcheze na Watu wa Tandahimba sasahivi wanaibuka ushindi๐Ÿ˜ƒ.

Kama nyie wanaume basi tutoeni pale juu.
 
Nimesema Mimi huyu dada siyo tu kwamba ni boss lady,Bali ni mtu na nusu na kipande pia๐Ÿ”ฅโค๏ธ

Nani mwingine anafikiriaga kuwawezesha watu lunch??
Huyu ni special woman duniani hapa.


Yaani hizi vocha tu unaweka zinatubariki mno,
Mimi hata nisipopata nafurahi sana tu Kwa waliopata Kwa sababu naijua furaha ya kupata hizi vocha.
Mtu anaweza akaona kama ni kitu kidogo lakini kiuhalisia huwa inaketa kavibe Fulani kazuri kubahatika vocha ya humu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿคฃ Pep huyu mtu leo umemfanyeje lakini!!!
 
Man mna rebuild Nini sasa nyie?
Na profesa wenu wa gengeni ..
Yaani hata tukiwapa mcheze na Watu wa Tandahimba sasahivi wanaibuka ushindi[emoji2].

Kama nyie wanaume basi tutoeni pale juu.
Yule profesa ndio kamfundisha ukocha klopp alimuokota bar,,Msimu ujao nyie livakuku genge la wahuni tutawapiga nje ndani
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ
Shouuzzzz leo umetokolezeeaa ki headmistress uwiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ hahaha..
 
View attachment 2144329
Naona traffic Police wamenisimamisha hapa, wanasema tairi za tela langu zimeisha [emoji3][emoji23]

Karma , Heaven Sent , financial services , Saint Anne , Bujibuji Simba Nyanaume fanyeni mpango mnunue Pickups za kubebea mazao yenu shambani lakini sio Ng'ombe.

Kwetu kule Ng'ombe ni kwaajili ya kula nyama, maziwa na kuolea tu sio kubebea mizigo [emoji119][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom