Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,403
Unayempa jukumu mwenyewe hajui kuogelea 🤣Nakuvika jukumu hili jema kamanda. Hakikisha hii pisi inajua kuogelea. Itafutie mwalimu wa kike ifundishwe vizuri. Ni muhimu sana!
Jizazi!Unayempa jukumu mwenyewe hajui kuogelea![]()



Shem usisahau zile kaptura; tutavaa hivyohivyo hata kama kuna baridi. Sisi kwetu ndiyo wakubwa😕
Tukienda vakesheni na head girl tukaselfika halafu tukaweka picha zetu kwenye lile bango pale mbarali mjini usilie
Tukafanye Nini sasa swimming pool?Jizazi!
Kwa hiyo hata mkiwa kwenye hanemuni yenu hakuna wa kumwokoa mwenzie ikitokea mmoja wenu akakosea na kwenda kwenye kina kirefu kwenye swimming pool?![]()
Nyie si mnavuta jani Moja bhanaShem usisahau zile kaptura; tutavaa hivyohivyo hata kama kuna baridi. Sisi kwetu ndiyo wakubwa

Acha ubishi. Jifunze kuogelea. Itokee siku moja unafakamia maji kwa kasi ndo utakumbukaTukafanye Nini sasa swimming pool?
Inatosha kupanda milima ya Uyole








Ah wapiAcha ubishi. Jifunze kuogelea![]()
Sina shaka nimepitwa na selfie zako lukukiUnapotea sana nawewe bwanasemeji!
Kwenye maji....sasa wewe ulidhani ni wapi?Ah wapi
Neng'eneka tuHuyu Wigelekelo atakuambia sina mapenzi, na cheat, sina ubinadamu etc...
Lakini jitahidi mpenzi, kuwa na subira....kuwa na maamuzi,
Embu chukua maamuzi we mjuzi mkufunzi, acha hizo za Wige ni makuzi upuuzi....

Asante sana Movies Store nafarijika nikiona sumu zimetulia mguuni,
Kwahiyo nisirushe ngumi shem wangu faida sana?Hahaha Shem hiyo nkamu ipo salama kabisa kwa matumizi ya mtu yeyote. "Ndugu"
Huwezi amini nimefika hapa jamvini kwaajili yako...Btw ulimissika sana
Vuta na weweNyie si mnavuta jani Moja bhana
No wonder![]()