Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Nilisahau tu kukutunziaWeee usiniambie
Nilikuwa macho,ndio tulikuwa tunamalizia kuongea.
Ila pisi ya Jana sikuona michoro miguuni afu miguu ya bia kubwa kubwa.
Nilisahau tu kukutunziaWeee usiniambie
Mimi au dada yako?🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo ni mawifi tofauti?Nilisahau tu kukutunzia
Nilikuwa macho,ndio tulikuwa tunamalizia kuongea.
Ila pisi ya Jana sikuona michoro miguuni afu miguu ya bia kubwa kubwa.
Inawezekana hata mjep hakuzionaOna sasa unavyotoa boko.. kimini cheusi landa weweeesina mtu wala picha ya mtu alie vaaa kimini cheusi.. shahidi Mjep
NdiyoKwa hiyo ni mawifi tofauti?

Daah hatariousInawezekana hata mjep hakuziona
Picha zote nimeona jana
Niutolee wapi wivu mie,maraha ninayopata hadi natamani nigawie mtu anayetesekaMimi au dada yako?![]()

Brother bonge mambo yake niDaah hatarious

Ndiyo
Sasa sijui anamleta yupi
Atuleteee tu huyu wa sketi aisee,huyo wa pedo atakuwa kama mtoto aliyeshindikanika
kwisha habari yako... 😀😀😀😀Inawezekana hata mjep hakuziona
Picha zote nimeona jana
Yangu au Mjep na HS?kwisha habari yako...![]()
Not cool bro![]()
Daah bango la Pep sijui tuliweke wapiNiutolee wapi wivu mie,maraha ninayopata hadi natamani nigawie mtu anayeteseka![]()
Angalau wewe utamuunga mkono.Daah sio kwa mawifi hawa

Hivi mbona unamuwaza Pep sana?Daah bango la Pep sijui tuliweke wapi

Angalau wewe utamuunga mkono.
Mimi si unajua hata wewe nilikwambia kuhusu kaptura![]()
Hivi mbona unamuwaza Pep sana?
Ifike muda nikutambulishe sasa shemeji yako,achana na Pep.
Acha wivu kaptura kama kawaaa kimini kama kawaaa.. na kila aina ya mavazii na tatooo moja matata 😁😁😁Angalau wewe utamuunga mkono.
Mimi si unajua hata wewe nilikwambia kuhusu kaptura![]()
Ewaaa azivae tu Kwa kwenda mbele ila siyo akija nyumbani .Acha wivu kaptura kama kawaaa kimini kama kawaaa.. na kila aina ya mavazii na tatooo moja matata![]()