reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,306
Gallius uko vzr sanaYaliyomo yamo!! Anaonekana mzuri sana!!!
Gallius uko vzr sanaYaliyomo yamo!! Anaonekana mzuri sana!!!
Ngoja nimbembeleze twende bonde la Usangu; kule tutakula mbuzi "kienyeji". Amazing sanaAfadhali, haiwezekani hawa Matraffic wanidai na Leseni ya udereva Kwa kuendesha mkokoteni wa Ng'ombe wangu
Omba ruhusa Kwa Baba Mchungaji ili Jioni twende City Pub tukachome Mbuzi.
Badae napita hapa namalizia kukagua mambo ya wanafunzi na staff 😎😎😎 nikukute basi njiani
Sawa head teacher. Na Mimi ndiyo namalizia kusahihisha madaftari hapa😂😂Badae napita hapa namalizia kukagua mambo ya wanafunzi na staff 😎😎😎 nikukute basi njiani
Basi wacha nikusubiri kwenye kibao pale 😁😁😁Sawa head teacher. Na Mimi ndiyo namalizia kusahihisha madaftari hapa😂😂
Kweli unajua kusifia, Ungekuwa Mwanaume Mabinti zetu wangeshindwa kuchomoa mistari yako
Ila the lady is so hot, isingekuwa Uzee huu ningefunga safari kwenda kumsifia live
![]()



.!!!!wacha weee

Uleule
Maisha yenyewe hayahayaUlipoamkia leo

Kumbe nahangaika kutafuta ajira na wakati Nina kipaji.Kila mwaka na jina lake..papaaa st Anne mushauri ya mungu,, unajaa bichwa unamwaga pesa
Ningekuwa mwana Lumumba sasahivi ningekuwa mbali sana.Team praise and worship![]()
Mkuu hayo pembeni ni maji??Miaka 76 hii bila kukimbia kimbia waweza jikuta nyonga zinagoma ohoo!
View attachment 2144555
Ndiyo mkuu ni maji. Ni ka-neighborhood kapya kalikozungukwa na maji...Mkuu hayo pembeni ni maji??
Kama ni maji nimejaribu tu kujenga picha jinsi gani siwezi kucheza karibu na maji namna hiyo.

Mazingira ni mazuri mkuu.Ndiyo mkuu ni maji. Ni ka-neighborhood kapya kalikozungukwa na maji...
Kwa nini unayaogopa hivyo? Ulishawahi kuzama au ni hofu ya kawaida tu ya maji (aquaphobia)?
Fanya kila juhudi ujifunze kuogelea kama hujui. Ni skill ya muhimu sana ambayo hujui ni wakati gani utaihitaji. Siyo kamanda Pep amekuchukua kwenda kula bata kwenye hoteli ya nyota 10 halafu unashindwa hata kuogelea kwenye swimming pool![]()
Mazingira wamejitahidi kwa kweli...hasa kwa sisi wazee kwa sababu kuna kila kitu na ni patulivu sana sema tu kuna jirani yangu hapa kanunua Range Rover jipyaaa. Ananikera mpaka basiMazingira ni mazuri mkuu.
Sijawahi zama ndani ya maji
Siwezi kabisa kujaribu maishani.
Kamanda ataogelea mwenyewe,kwanza hizo hotel za nyota kumi na mimi wapi na wapi??
Si ndio kuanza kuaibishana bila sababu za msingi.



Ni mkoa Gani huo mkuu???Mazingira wamejitahidi kwa kweli...hasa kwa sisi wazee kwa sababu kuna kila kitu na ni patulivu sana sema tu kuna jirani yangu hapa kanunua Range Rover jipyaaa. Ananikera mpaka basi
Ila I am serious. Jifunze kuogelea kama hujui.
View attachment 2144604