Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Misungwi sehemu gani kiongozi???
Sehemu moja inaitwa Nyamigongwa. Ukiwa unatoka Misungwi mjini barabara kuu upande wa kulia kuna kipori pori hivi ndo jamaa mmoja ameamua kuwekeza huko.

Nalima dengu na nyanya huko na ukiulizia kwa Mzee Shimba Mathias mkulima wa dengu utanipata bila wasiwasi. Karibu sana kiongozi!
 
Asante sana mkuu wangu
Kumbe ni Mwanza hapo tu!
nitakaribia mkuu wangu.
Ubarikiwe boss.
 
Super Head.

IMG-20220309-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom