Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo nimefanya kazi kiboss sana

Za kunitoa nje zote nimewapa students wanisaidie.
Jua halijanipata hata [emoji19] ila sielewi nini shida.. au sina maji mwilini [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dents wanakua watumwa woiiiiih.
 
[emoji14][emoji2957] nawakubali, Naipenda sana madent season.. yan uwa natamani isiishe..

Hiyo aya ya pili wallaqh nakauka na kicheko hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Napambana hapa hii 1lt ikate nianze route za kususu[emoji19]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ipo hapo Mjini kati, niliona imeandikwa Lizzy Supermarket 🙊

Kama sio yako huenda Mwakani ukamiliki ya aina hiyo, Sema Ameen 💪

20220312_073534.jpg


Nyingine hiyo hapo 🤑.

Jana nilipita kupata mahitaji madohomadogo.

Wadada warembo 2 walinihudumia vizuri sana.
 
Na wanavyokuwaga na moto sasa, full kujishughulisha[emoji28]

I know you needed that laugh[emoji23]

Na hyo hali ya hewa, had saa nyingne unatamani uwe mtoto uweke poti pembeni kuepusha rout za kususu kila saa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watoto wa field hao? Wanakuwaga na moto mno yaan.
 
Yaan mixer dada this dada that [emoji1787]

Niko busy mie niache [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aaah nyie ndio wale mnasusulia visado[emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom