Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Ooh MwakaniAah nakusubiri ukirudi daslam
Ooh MwakaniAah nakusubiri ukirudi daslam
Too much is poisonous we mzee 😄
Yaan mkuu?? HW jamaa wanabiti la hatari
Eti hati ya mashitaka![]()
It's not a very nice thing to do maana ni unyanyasaji, but, it works. Cha muhimu ni namna unayofikisha ujumbe...ila pia ni muhimu kuhakikisha the person in question is strong enough for that. Dogo alinenepa sana hapa katikati....nikamtania weee mpaka karudi kwenye mwili wake wa siku zote.
☺☺☺Mguu umenivutia sana, especially toes, I find them aesthetically pleasing.
Why would you think they are bad? Pretty sexy if you ask me.☺☺☺
I guess they are not so bad 🙃
Watu wembamba...It's not a very nice thing to do maana ni unyanyasaji, but, it works. Cha muhimu ni namna unayofikisha ujumbe...ila pia ni muhimu kuhakikisha the person in question is strong enough for that. Dogo alinenepa sana hapa katikati....nikamtania weee mpaka karudi kwenye mwili wake wa siku zote.
Sasa kahamia kwangu siku akijisikia kunichosha![]()



Well put together. 👍It's not a very nice thing to do maana ni unyanyasaji, but, it works. Cha muhimu ni namna unayofikisha ujumbe...ila pia ni muhimu kuhakikisha the person in question is strong enough for that. Dogo alinenepa sana hapa katikati....nikamtania weee mpaka karudi kwenye mwili wake wa siku zote.
Sasa kahamia kwangu siku akijisikia kunichosha 😬😬
🤣🤣🤣🤣Watu wembamba...
Wasiokunywa pombe...
Wasiovuta sigara....
Wasio............
Wakijilinganisha na upande wao kinzani, watu hawa huwa wanajiona kama vile hawatakuja kufa. Utafikiri kila anayekufa ni bonge, mlevi au mvuta sigara!![]()
@mahondaw shouzzzzzzzz hebu soma hapa,Dating huwa ina utamu wake, haswa pale for the first time mnatoka maeneo fulani mnakula, mnakunywa, mnazungumza halafu kuna ile kuona aibu kimtindo haswa wanawake wakati wa kula, kila mmoja huwa anajitahidi kuonekana yupo perfect kuanzia muonekano, unywaji, ulaji hadi kuongea.
Halafu unakuwa makini haswa mwanamke akiwa anatoka anaaga anakwenda bathroom hasa kama mmekula 2,3, unakuwa unaangalia mkia kwa makini sana, sasa sipati picha wezere ya mahondaw itakavyofanya mtu aweweseke.
Beleive it or not dating huwa ni moment moja amazing sana hasa ukibahatika kupata pisi haswaa yenye hadhi inayojielewa, siku ya mechi mashuka huwa yanachanika.
Dating ni kama kichochezi flani, inaongeza ile hamu ya kutaka kujua yaliyomo yamoooo!!
Cause wote huwa mnavutia kuanzia marashi mpaka mavazi hivyo kufanya kila mmoja awe na hamu na mwenzie.





Thanks!!!Why would you think they are bad? Pretty sexy if you ask me.
Nakubaliiiiiii shouzzzzzzzz ake,!! WW3 si tayari ujue hio Itakua WW4!
Nimeshasalute mjuemie siwawezi !!! Acha nipambane na bosi wangu huku mtaani tu!! Bosi asiekuwa na makuu Wala mambo mengi...!
![]()





Unaweza usiuone uzuri wako, lakini the person next to You akauona. Kwa huo mguu ulivyo mzuri, can't imagine the face. 😍Thanks!!!
Used to hate them before.....😵😵😵
Sijui ilikuwa utoto 🥴
Inataka kufanana na sahani ya Anne. Nikashangaa sana Leo amemuwekea hicho chakula nani





