cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,169
Ukoje
Unafukua ili iweje
Nakusubiri hapa malampaka![]()






poleeeeeh, nipo sikonge now, route ya Mbeya hiyo, hahahah



kwangu upo bhana weeIko sehemu gan hii? Pamenivutia sana.View attachment 2159836
Nyingine hiyo hapo.
Jana nilipita kupata mahitaji madohomadogo.
Wadada warembo 2 walinihudumia vizuri sana.


Tafuta housemaid wee shost lol,Ndo naingia mda huu majukumu shosti na hivi najifanya nunda sina msichanakimbembe!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app




Yaan daah.Sanaaa






shost bas taratibu lol.My ex hebu tafuta wa kutulia nae jamani utulizaneMbona unaguna my ex![]()
Teh Nyani Ngabu la kweli hili?Wasukuma kwenye ubahili watoe haraka sana tena bila masharti. Si kwenye vyakula wala pesa. Msukuma akiwa nacho anakupa tu na ni mojawapo ya makabila yanayojulikana sana kwa ukarimu. Ubahili waachie Wapare na Wakinga![]()
Mbna umecheka sasa?
Walau na wewe umemwonesha, alijifanya eti haijui kisa kuogopa nitampelekea ombi la mkopo wa 50,000,000.00😂View attachment 2159836
Nyingine hiyo hapo 🤑.
Jana nilipita kupata mahitaji madohomadogo.
Wadada warembo 2 walinihudumia vizuri sana.
Pamepoa mapema mnoo coca upoo nkrushie nlivokua bonge
Mimi nipo binaPamepoa mapema mnoo coca upoo nkrushie nlivokua bonge
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app