Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hahaha umenichekeshaMshono tayari ila njano na kijani hapana.
Bora nivae tu orange tujue Moja
Bora rangi ya chungwa tena
.Kuna hii rangi ya lavender je ?
Hahaha umenichekeshaMshono tayari ila njano na kijani hapana.
Bora nivae tu orange tujue Moja
.Itakuwa nzuri hiyo .Nina picha hapa ila sijisikii kumuonyesha?
Akisema na hiyo haitaki, basi ntamkabidhi kwa Jumbe tuHahaha umenichekesha
Bora rangi ya chungwa tena.
Kuna hii rangi ya lavender je ?


Ndio rangi gani tena jamani?Hahaha umenichekesha
Bora rangi ya chungwa tena.
Kuna hii rangi ya lavender je ?
Hebu muonyeshe perhaps ataipenda
Staff fanya mambo basi.. upande ule 🙄🙄🙄🙄 au ndio na mzigo wa broker hapaUmeanza..
Lavender ni purple iliyopooza hiviNdio rangi gani tena jamani?
Hakuna namna
Mambo yenu ya forex tenaStaff fanya mambo basi.. upande ule 🙄🙄🙄🙄 au ndio na mzigo wa broker hapa
Tuishi na njanoHebu muonyeshe perhaps ataipenda
Rangi zinachanganya hizi ... Mimi sikujua if orange ni rangi nzuri hivyo .
TobaaaLavender ni purple iliyopooza hivi View attachment 2159495





Ananitesa na kizungu cha rangi
Umeona eeh
Bora unisaidie
Hata kama ni nzuriItakuwa nzuri hiyo .
Rangi zote ni nzuri ,kikubwa mpangilio .
Njano nzuriTuishi na njanoView attachment 2159516
Sasa njano na kijani si ntakuwa kama bodigadi wa pepu pale mashamba ya mbogamboga uyole
Ewaaa tuje tuzitumbue hapa 😎😎Mambo yenu ya forex tena
Inanimulikapo usoniNjano nzuri
Ulipendeza Anne
