Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

SVR unyama sanaaaa... bado nazi double kwa blockerView attachment 2159738

SVR 4dr 4x4 2020 Land Rover Range Rover Sport Specs
Performance
Base engine type: V-8
Horsepower : 575 hp Horsepower rpm 6,000
Torque : 516 lb-ft.
Siku mkiniona nimetupia one of these basi mjue I'm no longer a Lakionaire 🙂
images (6).jpeg
images (7).jpeg
images (8).jpeg
 
Ubahili upareni is overrated [emoji2]

Wabahili eti nasikia ni wanyaki na wasukuma [emoji23][emoji1787][emoji23]

[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Wasukuma kwenye ubahili watoe haraka sana tena bila masharti. Si kwenye vyakula wala pesa. Msukuma akiwa nacho anakupa tu na ni mojawapo ya makabila yanayojulikana sana kwa ukarimu. Ubahili waachie Wapare na Wakinga [emoji51][emoji51][emoji51][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Kweli kabisa bageshi, wasukuma hawana ubahili kabisa
 
Back
Top Bottom