Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Leo ni siku nzuri.. hapa naenda kutulia na mama mchungaji tuzile za broker 😃😃😃😃😃Leo ni good day ehhh?
Leo ni siku nzuri.. hapa naenda kutulia na mama mchungaji tuzile za broker 😃😃😃😃😃Leo ni good day ehhh?
Tulikumissusiwaze mdogo wangu mama la mama mjengoni!! mwite na cocastic na wengine... I do miss them alot!

😃😃😃😃😃 acha nifike nijaribu kumbeleleza tuona kama atafanya jamboo aiseeMwalimu mkuu naomba uniombee kwa staff wako anifanyie wepesi
Umeuonea wapi urefu?
Kwa chakula gani haswa ninachokula ninenepe??
Hapa naweza kuja kula usiku..kaugali kadogo
Btw nimetoka kule jukwaa Lenu,nimecheka nusu nizimie
View attachment 2159131






huko ni hatareee mnooo.Yaani nimechekahuko ni hatareee mnooo.




,ukifa Kwa stress umejitakia.Design ya ngahawa imefikia wapi 😃😃Hmmmm...iko wapi hiyo Supermarket yetu?🙂
Anaboa kwa kingereza chake kibovu afu cha kufoka lol,Yaani nimecheka
Wanavyomsema huyu dada,,oh mara mtalaamu wa kulia analia wee mwanzo mwisho
Yaani tz,ukifa Kwa stress umejitakia.




Kwenye Ile picha, yaani hukosi 5.7"Umeuonea wapi urefu?
Natumia app

😅😅😅😅😅 eti Mr vocha
Miss you more shos...Abeeeeeeeh shouzzzzzzzz ake, nipo hapaaaaa![]()
Tunahitaji vocha sie hapa, tena mie za halotel tyuuh.eti Mr vocha
Basi naomba User name kwa ubatizo huu mpyaa




Leo sijapoteza Miwani, nimeshuhudia vitu mubashara 🥰Nipo shos nipo... weekend nilitingwa na harusi dia..
Kama sijakosea Rangi ya Chakorii ya harusi!View attachment 2159146
Afadhali nipunguze hapa machunguNipo shos nipo... weekend nilitingwa na harusi dia..
Kama sijakosea Rangi ya Chakorii ya harusi!View attachment 2159146