Rusha tiPamepoa mapema mnoo coca upoo nkrushie nlivokua bonge
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Sasapoleeeeeh, nipo sikonge now, route ya Mbeya hiyo, hahahah

Niko tayari kuipokea kwa mikono miwili achiaaaaaaaaaaaaWatu wamelala dorooooo
Wanaitendea haki mvua ya leo....
Ngoja niachie taswira ya Bi Kasinde kwa sekunde 10....![]()
Kwahiyo ulisoma afu ukachimba 🤣🤣🤣Kweli kabisa bageshi, wasukuma hawana ubahili kabisa
DahWas here....
Dakika tatu zimeishaaaaaaa 📸
Majukumu yanaendelea 😄.
Harusi gani ina code 1? Wamebugi hapoHahaha jamani usinichekeshe mimi
Kuna harusi moja hivi karibuni lavender ilikuwa wedding colour aisee nilisema tu siendi ..
Rangi gani hii sasa![]()
Heaven Sent nikiamka uniite nije kuona hizo stunning photosUlipendeza hapa balaa ..watu na rangi zao
Those colors are striking
You look ravishing in the photo.
Zilikuwa tatu lavender , gold na black .Harusi gani ina code 1? Wamebugi hapo
Kuna harusi nimetoka kuhudhuria mwanzoni mwa mwezi huu, Lavender ilikuwa mojawapo ya code.
Bridesmaid na groomsmen walivaa lavender na walipendeza.
Kumbembe sisi wananchi waalikwa 🤣
Zilikuwa rangi 3 ila naona karibia nusu tulikumbilia maroon
Kuna rangi ukiziangalia unakosa mpk mshono
Thank you ..Hongerenj kwa kujua rangi,mi najua rangi za bendera ya taifa tu
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Umetuma sasa Tisa?Watu wamelala dorooooo
Wanaitendea haki mvua ya leo....
Ngoja niachie taswira ya Bi Kasinde kwa sekunde 10....![]()
Umetuma sasa Tisa?
Umenihujumu!