Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Dollar kadhaa hivi 💵💵💵💲💲💲.. si unajua weekend ndio imeanza sasa..Digits ngapi hapo niwe motivated mimi??😉😉
Dollar kadhaa hivi 💵💵💵💲💲💲.. si unajua weekend ndio imeanza sasa..Digits ngapi hapo niwe motivated mimi??😉😉
Hapana boss lady, nimeshaanza kufatilia kibali cha Mazingira Kwa Mhe. Jaffo lakini pia Ewura nitaenda kesho, kama utanipa walau milioni 10 hivi ningeweka mazingira ili week ijayo vibali vyote viwe tayari.😂😂😂😂
Hela zangu sio ngumu kuliwa ila kwavile nshajua unanipangia mipango imekula kwako 😁😁
Tufanye tu kesho boss lediSaint Anne na cocastic vocha zenu nahisi badae umeme umekatika cm ina 2%
Yohhhh....alizirudisha huyo jamaa?? 😲😲😲 Au ndo yale ya biashara ime✔ mshkaji akatafuta babe mwingine? 😬Kuna mmoja nilimsoma humu aliwahi kumkopea boyfriend ake milioni 20 ya biashara, kwahiyo usinionee wivu boss lady Lizzy akija kunikopea milioni 50 nifanyie biashara.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi hawa jamaa wananichukuliaje ? [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2159661
Pole mdogo angu jamaniAhsante Tiny
Naimani hakitazidi.
Weeeeee.....labda nikope kwako 😆😆😆Akikukopea naomba niwe chawa wako basi 😃😃😃
Acha ubahili boss lady, nikitusua Mimi maisha na wewe lazima tushare utajiri 🤪Yohhhh....alizirudisha huyo jamaa?? 😲😲😲 Au ndo yale ya biashara ime✔ mshkaji akatafuta babe mwingine? 😬
Either way...that is a little too risky for my liking. 😏
Fanya haraka niibe proposal na mie nikafanye presentation kwingine 🙈🙈🙈Kwa ninavyoijua hela Mchaga haingii ndani, ukisema hata mwezi Ujao nije kufanya presentation yake nipo tayari, najua nitaanza kulipwa advance kabisa 😂
Eeh angeoa sasa?Badoooo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2159699
Aah nakusubiri ukirudi daslamHahaa niko Lindi nkamu unaweza kuja
😃😃 mgahawa umefikia wapi kwenye design kwanzaWeeeeee.....labda nikope kwako 😆😆😆
We fanya kufuatilia ila miamala nafanya mwenyewe. Siku hizi si tunatembea na control no. ama??? 😂😂😂Hapana boss lady, nimeshaanza kufatilia kibali cha Mazingira Kwa Mhe. Jaffo lakini pia Ewura nitaenda kesho, kama utanipa walau milioni 10 hivi ningeweka mazingira ili week ijayo vibali vyote viwe tayari.
Fanya kunitumia hicho kiasi boss, alafu mahali nimepata site ya kujenga ni nzuri sana, niliwakuta akina Oilcom na Total fuel ⛽ wakigombania Ile site, ni wewe tu umepata kwaajili yangu 🙈
Kama Kuna uhakika wa Ile hela nitakuletea kesho Jioni hiyo project proposal.Fanya haraka niibe proposal na mie nikafanye presentation kwingine 🙈🙈🙈
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku hizi kama mbu wameongezeka
Afu hawasikii rungu yan
Wamekuwa wagumu kufa
Nipoze na ile selfie ya mshono wetu 🥳😒Pole mdogo angu jamani
Wewe lazima utakuwa Mpare si kwa ubahili huo 🤪🏃🏃We fanya kufuatilia ila miamala nafanya mwenyewe. Siku hizi si tunatembea na control no. ama??? 😂😂😂
Hivi kale ka Mshono sikupost?Nipoze na ile selfie ya mshono wetu 🥳😒
Niko busy natafuta inspiration 🙂🙂😃😃 mgahawa umefikia wapi kwenye design kwanza