Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Kweli dada ,Ndiyo maana nakwambia achana na Anne; wewe vaa tu confidently
Kikubwa tu ujue umependeza tu .. hakuna haja ya kum impress mtu .
Kweli dada ,Ndiyo maana nakwambia achana na Anne; wewe vaa tu confidently
[emoji28][emoji28]Tuvae tu mashati ya CCM.
No way.
Sikwenda yani [emoji28]Ukavaa nini sasa?
JamaniSikwenda yani [emoji28]
Nilibaki tu home .
Ww ndio unakula wali na mamichuzi mengi namna hii!!
utanenepeana kama nyoka aina ya koboko
Hiyo nguo niliyopanga kuvaa inanishika .. nikajisemea ya nn kwenda wakati nitakuwa sipo comfortable .Jamani
Maana ukishiba tu, kitambi kule. (Picha nimeiba)Hiyo nguo niliyopanga kuvaa inanishika .. nikajisemea ya nn kwenda wakati nitakuwa sipo comfortable .
Raha ya harusi ni kujiachia , kula, kushiba
Kitambi kikishachomoza , huwezi hata kwenda kucheza tena [emoji28].
Kitambi hakina adabu kinajua kuchomoza tu [emoji28]Maana ukishiba tu, kitambi kule. (Picha nimeiba)
Saint Anne View attachment 2159543
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sasa kumekucha[emoji91]Maana ukishiba tu, kitambi kule. (Picha nimeiba)
Saint Anne View attachment 2159543
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamponza mwenzioNdiyo maana nakwambia achana na Anne; wewe vaa tu confidently
Niko mama mtumishi.Sijambo Lenie
Nakukumbusha tu st Anna Yako anayo baba mtumishi
Hujasoma vibaya namhala...hata mimi nimesoma ila nikasema acha nisimvunjie heshima Mama Mchungaji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Sijui nimesoma vibaya[emoji1787]
Eti umesema[emoji2089][emoji2089][emoji1787]
Mie kifua tu hicho 😎😎Maana ukishiba tu, kitambi kule. (Picha nimeiba)
Saint Anne View attachment 2159543
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha.......kumbe you used to be there? Mbona hukunishtua hapa Nangurukuru?Mtwara kweli???😲😲😲
Japo fukwe zao nzuri....View attachment 2159382
But still.....si tutaishia tu kukinai korosho???
Hata Mimi nimemmissNiko mama mtumishi.
Halaf baba mtumishi umemficha wapi, sijamuona kitambo
NyieeeeeHujasoma vibaya namhala...hata mimi nimesoma ila nikasema acha nisimvunjie heshima Mama Mchungaji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kale kabinti keupe hatimaye kameonekana. Nimeona mjadala unarindima eti katamuua age mate wangu kwa presha na mapigo ya kule siksi taimuzi siksi. Wabongo noma sana! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099]Unawaza nini?
Hako kabinti keupe, hauna picha yake?