Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Hapana LenieUmemtelekeza ubavu
Yeye ndiye ametutelekeza sisi watumishi wenzake humu
Maana haonekani

Hapana LenieUmemtelekeza ubavu

Hujanotice??
Usiwe na haraka. Hayo ni maongezi baada ya successful proposal....🤓Kama Kuna uhakika wa Ile hela nitakuletea kesho Jioni hiyo project proposal.
Muhimu percent yangu Mama 🙈
Chomoa simu kwenye chajiNiko busy natafuta inspiration 🙂🙂View attachment 2159709
Hivi kale ka Mshono sikupost?
😅😅😅😅Wewe lazima utakuwa Mpare si kwa ubahili huo 🤪🏃🏃
Na wanavyokuwaga na moto sasa, full kujishughulisha😅😛🤪 nawakubali, Naipenda sana madent season.. yan uwa natamani isiishe..
Hiyo aya ya pili wallaqh nakauka na kicheko hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Napambana hapa hii 1lt ikate nianze route za kususu😒
Mbona umeziba $$$$!!! Hakuna atakaekuteka labda dada yako.
In 28 min 😃Chomoa simu kwenye chaji
ZilipendwaWewe lazima utakuwa Mpare si kwa ubahili huo 🤪🏃🏃
Nitafunga kwa ajili yake apate kurudi tuwe nae pamoja huku kama zamanHapana Lenie
Yeye ndiye ametutelekeza sisi watumishi wenzake humu
Maana haonekani![]()
Unataka kusema siku hizi Wapare wamepunguza ubahili?Zilipendwa
Kabisa yaaniNitafunga kwa ajili yake apate kurudi tuwe nae pamoja huku kama zaman
Yaan mixer dada this dada that 🤣Na wanavyokuwaga na moto sasa, full kujishughulisha😅
I know you needed that laugh😂
Na hyo hali ya hewa, had saa nyingne unatamani uwe mtoto uweke poti pembeni kuepusha rout za kususu kila saa
Ukisikia kufanyishwa kazi bila Ujira ndiyo hapa.Usiwe na haraka. Hayo ni maongezi baada ya successful proposal....🤓
Ubahili upareni is overrated 😃Unataka kusema siku hizi Wapare wamepunguza ubahili?
🤣🤣🤣🤣Yaan mixer dada this dada that 🤣
Niko busy mie niache 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aaah nyie ndio wale mnasusuli visado🤣🤣🏃♀️🏃♀️
Kanaonekana katamu 🥰
Hadi siku nikilivaa tena sasa; nilitaka nilivaepo nikawaza huo weupe + kulinyooshaKanaonekana katamu 🥰
Pls kapicha likiwa mwilini…
Wee shindwaUbahili upareni is overrated 😃
Wabahili eti nasikia ni wanyaki na wasukuma 😂🤣😂
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️