Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Hahaa usimsikilize huyo jamani! Halafu juzi nilikuona maeneo ya ukonga!


mimi?? Ulinijuaje aiseeHahaa usimsikilize huyo jamani! Halafu juzi nilikuona maeneo ya ukonga!


mimi?? Ulinijuaje aiseeSemaNa nilikuwa nakuona tu![]()
Juzi kuna mtu kaniambia 'msalimie baba kijacho'Nkamu Nkamu hujui tu mateso tunayopitia na hivi vitambi![]()
HuyuSunday tulivu, karibuni sana TZS 5000@ nafanya delivery popote ndani ya Dar. Ila utachangia cost kidogo
View attachment 2124856

Dadaake mtu
Kwani unafikiri keshapakua chote..? Hicho alichoweka ni cha picha tu!,akiweka kile cha kuanza kula jua mtoto wa miaka 5 akikiruka lazima avunjike shingo..![]()

Najicheka piaunanicheka
Nikikuta unyama una kitu kama hii.. huwa najipiga piga kifua na kusema one day hapa mjep kanishika
View attachment 2124668
Kwa wasukumaOoh ni kati ya majina ya ukoo ninayoyapendaga sana halafu nilijuaga ni wasukuma! Ni wabena, wapangwa, wakinga au?
MabeyoHaha wasukuma mnapenda sana majina yanayoanzia na "Ma" mfano Mabeyo, Mabula, Mabele, Masese, Masanja, Maranja nk (wote wenye majina hayo nimesoma nao na wengine walikuwa ni waalimu wangu)! Kuna siku niliona comment yako ulisema Busisi maana yake Ukwaju nikakuambia Mwanza kuna sehemu inaitwa Busisi nalipendaga sana hilo jina ila sikujua kama maana yake ni Ukwaju (Mwanza kuna maeneo mengi yanaanzia na "Bu" mfano Busisi, Buhongwa, Buzuruga, Bugarika, Buswelu, Bugando nk)!


Neno nililolikariri ni marehemu bibi akilewa wanzuki washua wakimzingua anawaambia lushindo lwako.


Kamanda Pep tangu apigwe na kitu kizito siku ile akina Wigelekelo wakawa wanamcheka naona kapotea jumla. Watu wafuatilie kama yuko salama huko aliko![]()

AiseeKina Wige wavimba macho tu
Baba Mtumishi anashikilia jimbo lake, na hana mpinzani
Sijui utaambia nini watu nikikwambia mambo hayapo hivyo

😃😃😃 hatuwezi jua kila kitu mkuu.. chombo matata sana hiiImagine ndio najua leo hii kitu, SMH, kweli nipo nyuma.